Maandamano ndio chanzo cha umaskini Tanzania-Wazir | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ndio chanzo cha umaskini Tanzania-Wazir

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 28, 2011.

1. B

Bajabiri JF-Expert Member

#1
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Waziri wa Mambo ya ndani kwenye hotuba yake amesema maandamano yanayofanywa na CHADEMA ndio chanzo cha umaskin kwa mtanzania..........

2. BAK

BAK JF-Expert Member

#2
Jul 28, 2011
Joined: Feb 11, 2007
Messages: 70,791
Likes Received: 83,168
Trophy Points: 280
Unategemea nini kutoka yeyote yule ndani ya magamba kama si kuongea pumba. Kikwete na Pinda walishindwa kulijibu swali hili sasa sijui yeye kapata wapi dhana hii kama Maboss wake walikuwa hawalijui jibu la swali kuhusu umaskini wa Watanzania.

3. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#3
Jul 28, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
na bado ni mpaka KIELEWEKE NDIO TIJA YETU..

4. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#4
Jul 28, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,517
Likes Received: 2,259
Trophy Points: 280
hahaha! at last wamegundua chanzo cha umaskini! surprisingly it took them this long! since umaskini ni moja ya maadui wa taifa hili, weapons of mass distruction should be employed kufuta kizazi choote cha maandamano,then we shall live happily ever aftr! big up chama cha magamba!

5. B

Bajabiri JF-Expert Member

#5
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Jaman tv imekata matangazo hukuuuu,,,,,,,,tena mlimani TV

6. nguvumali

nguvumali JF Bronze Member

#6
Jul 28, 2011
Joined: Sep 3, 2009
Messages: 4,864
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
Nani atabisha ccm ni genge la wapuuzi ?

7. B

Bajabiri JF-Expert Member

#7
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Wabunge wa CCM wanabishaaa,,,,mmoja hapa anasema polis kuuua watu haiepukiki,,,,,,,

8. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#8
Jul 28, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
CCM wapuuzi wakubwa! tutaandamana hadi mtoke madarakani. mtu km lukuvi job ndugai sijui wassira sijui pinda wote furusha tuu peooooopleeeeeeees poweeeeeeeeer!

9. B

Bajabiri JF-Expert Member

#9
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Inawezekana kwa sababu wanakuwa kwenye maandamano

10. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#10
Jul 28, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
Hawa magamba washagundua kuwa watz hawataki kuskia hata sauti zao hivyo wanajitahidi kupandikiza mbegu ya chuki kati ya cdm na wananch, wanachosahau ni kuwa watanzania wa sasa si wa enzi za nyuma

11. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#11
Jul 28, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,809
Likes Received: 1,129
Trophy Points: 280
kumbe CDM kilikuwepo tokea uhuru! Nashukuru mh waziri kwa kunifumbua macho.

12. B

Bajabiri JF-Expert Member

#12
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Hahahahaaaaa,,,,,,chiku amehoj hapo

13. G

Giddy Mangi JF-Expert Member

#13
Jul 28, 2011
Joined: Feb 14, 2011
Messages: 833
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Ninatoka nikirudi nitawasilisha.

14. Rugaijamu

Rugaijamu JF-Expert Member

#14
Jul 28, 2011
Joined: Jul 10, 2010
Messages: 2,833
Likes Received: 556
Trophy Points: 280
Hawa watu mbona wanatufanya sisi mazuzu tusioweza kutambua wala kutafakari masuala yahusuyo nchi yetu jamani?Ina maana anataka tuamini kuwa umasikini wetu umeanza mwaka huu?KWA NINI HATUTAKI KUCHUKUA HATUA ZA KUWAADHIBU HAWA WATU!

15. Remote

Remote JF-Expert Member

#15
Jul 28, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 14,875
Likes Received: 1,562
Trophy Points: 280
Ampgie simu Kikwete yupo ziarani newala amueleze chanzo cha umaskini kwamba ni CDM, si alkuwa hajui chanzo.

16. C

Campana JF-Expert Member

#16
Jul 28, 2011
Joined: Dec 2, 2008
Messages: 207
Likes Received: 9
Trophy Points: 35
Napendekeza headline kwa magazeti ya kesho kiwe 'Breaking News - CCM yagundua chanzo cha Umaskini Tanzania'

17. B

Bajabiri JF-Expert Member

#17
Jul 28, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Watasema unavuruga aman

18. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#18
Feb 5, 2012
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
mh! Hizi ni kauli za viongozi wetu wa magamba.

19. M

Makupa JF-Expert Member

#19
Feb 5, 2012
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 2,742
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
hivi magamba maana yake ni nini

Loading...