Tanesco na tigo wana shilikiana kutuibia malipo ya luku.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco na tigo wana shilikiana kutuibia malipo ya luku....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by filonos, Feb 5, 2012.

 1. f

  filonos JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  mimi ni mdau wa Tigo siku ya tarehe 3.1.2012 nimetuma pesa Tigo kutoka kwenye A/C yangu 20.000. kwaajili yakununua LUKU wakanitumi ujumbe MUHAMALA WAKO UNA SHUHULIKIWA.. chaajabu mpaka hi leo 5.2.2012 sijapata umeme nimeisha enda Tigo pale Mliman City mala 2 na nimeenda pale Msimbazi Branch jibu wanajibu tume waumia email Tanesco hawajajibu sasa wana Nchi hu si wizi wa kimacho macho ivyo ni nani tu mwamini???? nomba MAONI YENU WADAU WA JF..na Wa Tanzania kwa jumla mimi ni MJASILIA MALI...
   
 2. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Pole, cheki na TIGO kwanza.
   
Loading...