Hivi madaktari bingwa wote ni wachaga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi madaktari bingwa wote ni wachaga?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jan 30, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wakuu natazama news kutoka tv yetu ya Tbc'eebanae nilichogundua ni kwamba madaktari bingwa wote walio hojiwa ni wachaga aisee'kumbe wamangi wamejichimbia sana ndani ya nchi hii'namshauri kikwete aje na aidea ya kuchanganya aweke wakwere'e kidogo manake jamaa ana kawivu ka kajinga kweli watu wangu'wachaga walisoma zamani wee nanii achana nao'kwi kwi!
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sidhani kama kuna mkweree doctor'ikitokea nikakutana naye nitamkimbia
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Masawe,mbise,lema,ndossy,ole,matuja,kaushik,shafiq madaktari bingwa dar
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa....................... mkuuu!!!!!!!!!!!!!!!!..................... sio vizuri namna hiyo, umenijeruhi vibaya sana mbavu zangu!!...........................
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Na ikitokea akawepo na akawa na Iq ndogo kama ya JK ataua sana wagonjwa badala ya kuwatibu wakapona.
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  hahahahahahaaaaa.....................hii kiboko yake hii!!

  Yani ange -manufacture wagonjwa!!!
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Bahati nzuri sijasema mie...
   
 8. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wakwere watakuwa vipi madaktari leo kunako mgomo? Thye should have started long time to take cover. Alas nimekosea bwagamoyo witchdoctors I mean,, Hawa wanaweza kuendesha vyema kitengo cha mifupa na icu?
   
 9. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  The stone whch was rejected by the builders has become the cornerstone-chaggas!!
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  wewe ungesema hivi:

  Wizara ya Afya: muhimbili kuna ukabila, madaktari bingwa wote ni wachaga, wanapeana kazi.

  Yani ungeongea kama umekunywa ngera ya dadii..............if you know what I mean.
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  umemaliza
   
 12. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  umesahau daktari mmoja wa kikwere JK Na yeye si dokta au ?
   
 13. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  No comment!
   
 14. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  ni kweli wachaga ni wengi lkn me nijuavyo mapofesa wengi muhas ni wahaya.nenda kaangalie nisemacho utagundua ni kweli tupu.sasa hivi makabila mengine ndo yanaibukia.na ni kwasababu wenzetu wahaya waliwahi kwenda shule.babu zao na baba zao waliuza kahawa na kufanikiwa kusomesha watt wao.
   
 15. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ni doctor kikwete
   
 16. s

  saddam Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ****** atakuaje dr? nyway nin nimewahi mwona ****** dr wadau sio uongo ila ni mmoja tu ila pia msisahau dr mmatumbi,mdengereko,mzaramo,etc mkawatafute
   
 17. s

  saddam Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata idsm maprof wengi ni wahaya na wachaga wakifuata ila 2ache kulalamika wenzetu walitangulia kusoma they deserve those privilleges,utawala wamenyimwa na kula wanyimwe? we just need to pull up ourselves mbona wachaga hawalalamiki wahaya wanabebwa na kinyume chake? sasa ****** shule hataki atakuaje dr? watu wangeenda moshi watambue jinsi shule inavozingatiwa na kuwekeza pia,alaf mbona jeshini na polisi kuna wakurya wengi mbona hamlalamiki?
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Usiombee ukaumwa meno ukaenda Muhimbili. Utakutana nae tena Orijino, dam dam.
   
 19. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Wahaya na wachaga they run this country....yaani ikitokea hawa jamaa wakagoma effect yake atakuja kuiamua obama...yani sehemu zote nyeti wamezikalia wao na uko ulaya/ughaibuni ndo usiseme yani wahaya yamejaa
   
 20. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  hiyu aliemfanyia oparesheni ya kichwa badala ya mguu na wakichwa akafanyiwa kwenye mguu alikuwa dr gani tena...naomba jibu wakuu
   
Loading...