Jk acha unafiki!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Amesema wana ccm wasiwachague viongozi wenye tuhuma!jee wakati ana wanadi mramba,chenge,rostam ubunge hakujua hilo?
 
Khaaa bado tu ujamsoma huyo jamaa? Ni kigeugeu huyo aaminiki huyu,muulize lowassa anamjua? Kamshawishi aandike barua ya kujiuzulu u-PM ili akieleta kwake aikatae na wakakubaliana lkn ilivyofika kwake akaipitisha khaaa huyo ndo jeikei kigeugeu
 
Amesema wana ccm wasiwachague viongozi wenye tuhuma!jee wakati ana wanadi mramba,chenge,rostam ubunge hakujua hilo?

Kwa wale mlio mchagua jibuni hili: anatuhuma za IPTL, meremeta na hata Anglogold. Sijui kwa nini mlichagua. Ciao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom