maadhimisho ya ccm ndani ya ccm kilumba:updates

nape alonga.. Si kweli kwamba eti wamepeleka maadhisho mwanza kwasababu ya majimbo waliyopoteza..bali ni muda mlefu hawajapeleka.
 
maojiano kati ya nape na mtangazaji star tv yanaendelea..
 
anasema ccm bado ni imara na mipasuko ni porojo za wabaya wa ccm
 
nape kasema leo ameshiriki kufanya usafi ndani ya jiji la mwanza..
 
sebene la isha mashauzi na mama yake linapigwa wimbo unaitwa mama nipe ladhi..
 
mwanyekiti wao(ccm) anasubiliwa kuingia uwanjani muda wowote kutoka sasa.
 
ratiba rasmi haijaanza wanasubiri mwenyeketi wa chama.nitaendelea kuwajuza yote yatakayojili kwenye sherehe hii ya magamba.
 
Hawa vijana wanaokata mauno hapo uwanjani wamekosa kazi ya kufanya? Wanaonekana wana njaa sana. Siasa bana!
 
watu kutoka nyamanoro,pasiasi,butimba,magu na nyegezi wamekuja kwa kusombwa na magari ya ccm yaliyotapakaa mwanza nzima.
 
Hawa vijana wanaokata mauno hapo uwanjani wamekosa kazi ya kufanya? Wanaonekana wana njaa sana. Siasa bana!

Kwao ndio kazi wanayoona inawafaa. Kama kina fulani wanaojipinda humu kutuambia tuya-appreciate maendeleo yaliyoletwa na magamba wakati halisi inajulikana na kila mtu (including magamba wenyewe)!
 
Kwao ndio kazi wanayoona inawafaa. Kama kina fulani wanaojipinda humu kutuambia tuya-appreciate maendeleo yaliyoletwa na magamba wakati halisi inajulikana na kila mtu (including magamba wenyewe)!

nape kasema maendeleo ni mengi sana na hayaelezeki.
 
kudiku pia kinachezwa hapa pia kuna vijana wengi wanaoneka wamechoshwa na maisha haya bora tunayopewa na ccm,yaani wamepauka kuanzia sura zao hadi miguu..hali yao si nzuri wajameni.
 
dokii ni mmoja kati ya watumbuizaji..ila sina hakika kama vick kamata atatuimbiza.
 
tukumbe pia,Nape kasema ccm imepandisha uchumi umekua imara ila kazi moja tu waliyobaki nayo ni kupeleka uchumi kwenye mifuko ya watu ili watu wawe na fedha za kutosha.kwakweli nape katoa kichekesho.
 
Naona kama kawa watu wachache wengi ni watoto sioni, hata ikipigwa hoyeeeeeeeeeeeee naona anjibu mtu mmoja, kwa kweli ccm wamefulia mbaya. Hata tv inaonyesha eneo moja tu.
Na huu ni mwanzo tu, kazi inogile kutukabidhi nchi yetu. Mkwer.e navyomfahamu anapenda sana population ila kwa watu kama hawa najua atanuna sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom