kwa nini LOWASA hajawahi unga mkono vita kupambana UFISADI?

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Huyu EL ni kituko cha mwaka,hajui kama watanzania washajua janja yake ya kufanya harambe ni yakuficha maovu yake? My Take kwake aache kuwahada wachungaji wenye dhiki ya maisha ili wampe mialiko ya harambe ,MUNGU atamuaibisha kila aendako hadi pale atakaposema ukweli wa RICHMOND ..pole sana EL huna nafasi ya kuwa RAIS.
 
Greestar, acha uongo wako, pale Dodoma Lowasa aliweka wazi mbele ya mwenyekiti na wajumbe wengine kuwa yeye hahusiki na Richmond-wewe una agenda gani dhidi yake. Kwenye taito yako imeuliza kuwa nikwanini Lowasa hapigi vitq ufisadi- unajua alichofanya kwa DAWASA wakti akiwa Waziri mwenye dhamana ya maji?!.
 
Nasizia hasa kwakusikia jina la huyu babu,wa Tz wameshaamka sikuizi kama hafai hawampi kama anafaa watampa.kumpaka matope wala hakukusaidii kitu,ebu tuletee mambo mapya.....
 
Back
Top Bottom