Je Wilson Mukama atakuwa akihitajika kuproduce risiti za malipo yaliyofanywa na CCM????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Wilson Mukama atakuwa akihitajika kuproduce risiti za malipo yaliyofanywa na CCM?????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gambachovu, Feb 5, 2012.

 1. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa live footage ya maadhimisho ya chama chake kwenye Televisheni ya Taifa ya TBC?
   
 2. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  kama walifoji zile za mke wa raisi kutumia ndege ktk kampeni so kuhusu hili we underline.
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hii nchi nadhani inabidi tuongozwe na mwendawazimu..
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Halafu footage yenyewe inakatakata... Sijui ya Star TV ikoje..
   
Loading...