Wizi wamalipo ya LUKU

filonos

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
647
137
Ndugu wadau kuna wizi wa malipo ya luku kati ya tanesco na tigo pesa kwani mimi siku ya rarehe 3/1/2012.nimelipia 20.000/ nikaletewa ujumbe na tanesco unasomeka muhamala wako una shuhulikiwa lakini mpaka hileo sijapata umeme wala pesa haijaludi na nimefuatilia palw mliman city zaidi ya mala 5mpaka hileo nilikua hapo majibu ni yaleyale hayana tija wala mwelekeo jeee hu sio wizi wa mchana huku unona???wadau wa jf naomba maoni yenu je tuachane na huduma hii???? Au niajeee???
 
Back
Top Bottom