Waziri mkuu amenichefua nikimwona kwenye tv nataka kutapika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri mkuu amenichefua nikimwona kwenye tv nataka kutapika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BORNCV, Feb 6, 2012.

 1. BORNCV

  BORNCV JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu PM ateuliwe nijua angekuwa mtetezi wa wanyonge hasa maslahi ya peasants ambao ndio kundi kubwa hapa nchini pamoja na kubatizwa jina mtoto wa mkulima lakini amekuwa kama kikwazo hana msaada wowote kwa nchi yetu.

  watu kibao wanakufa mahospitalini wakati yeye na mawaziri wake wamelianzisha tatizo la mgomo wa madaktari cha kushangaza baada ya kutoa amri yake ya madaktari kuridi kazini hajafanya chochote kuhakikisha watu wanapata huduma kwenye mahospitali.

  Sasa yuko bungeni hakuna hata kimoja chamaana alichotamka kuhusu shida za maganga pamoja na wananchi wote kwa ujumla, utakuja kulipa haya mbele za Mungu na mbele na wananchi pia na kujuta pamoja na chama chako ambacho kinaweka maslahi yake mbele na kuwanufaisha viongozi mliowaweka.

  Tafadhali rudi kwenye mstari urudishe hadhi yako.
   
 2. e

  evoddy JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ndani ya ccm hakuna jipya wote ni wezi isipokuwa wanatofautiana viwango ,Kauli hiyo aliitoa katibu mkuu wa ccm Yusuph Makamba.Rejea kauli yake kuhusu uchaguzi wa kura za maoni wabunge na madiwani ndani ya CCM 2010
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,917
  Likes Received: 2,345
  Trophy Points: 280
  Umchukie au usimchuki mototo wa mkulima the fact remains kuwa kwa kipindi hiki serikali is at one of its weakest moments.
  Hata moral authority haifanyi kazi tena.
  Mimi Nina tatizo zaidi ni Mhe Pinda kuingia hili tatizo la mgomo wa madktari kichwa kichwa, amechomekewa na Wizara ya Afya juu ya hili ili aonekane impotency Yake.
  Wizara kweli Kama imeshindwa kutatua matatizo ya wizard Yake ni vema mtu akawajibishwa kwa kushindwa kazi.
  Kama mtindo wa kazi utakuwa huu basi naye mototo wa mkulima akatue zigo la mgomo kw bosi wake na hapo ndo nitajua ukweli wa kuzorota utendaji serikalini.
   
 4. BORNCV

  BORNCV JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna uwajibikaji serikali inaendeshwa kishikaji (kiswahiba ) tuu.

  sasa yatawatokea puani muda si mrefu na sisi wananchi tutatangaza maandamano kama syria, libya, tunisia tumechoka na maisha haya yasiyo na tija yoyote huku gap la walichonacho na wasichonacho likiongezeka.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ..........and the weakest PM ever!!
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  stupid goverment....wewe umeona wapi nusu ya wanafunzi wanaofaulu hawajui kusoma na kuandika halafu waziri husika anapeta tu bila kuwajibishwa au kujiwajibisha???
  Umeona wapi waziri wa afya anaongea pumba na kurudia matapishi kama vile si msomi???
  Rais anayezurura hovyo kama huyu???
  Nadhani mr.ebo angalikua hai angejibu bado
   
 7. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,033
  Likes Received: 8,523
  Trophy Points: 280
  wagonjwa wanakufa madaktari wako umbali wa mita chache tu wanaangalia tu halafu analaumiwa pinda kwamba atajibu mbele ya mungu kana kwamba mungu anafagilia posho.nightngale akifufuka leo anakufa tena kwa pressure
   
Loading...