Lowassa nyuma ya mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa nyuma ya mgomo wa madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Feb 5, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Lowassa bado anasumbuliwa na jinamizi la kujiuzulu.Anajitahidi kujisafisha.Kuna kila uwezekano kuwa Waziri Mkuu mjiuzulu,Edward Lowassa anahusika moja kwa moja na mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini kote.Taarifa rasmi zinaoonyesha kuwepo kwa vikao vya siri kati ya watu wa karibu wa Lowassa na viongozi wa wadaktari walio kwenye mgomo akiwemo Mwenyekiti wao Dr.Stephen Ulimboka.

  Taarifa zinaonyesha kuwa ni watu wa Lowassa waliosalia Ofisi ya Waziri Mkuu ndio waliowapenyezea nyaraka Madaktari hao kuwa posho na mishahara yao imepanda ila Serikali imegoma kuanza kuitekeleza.Mishahara na posho hizo zilipanda kipindi ambacho Lowassa alikuwa Waziri Mkuu.Lowassa amekuwa akifadhili mgomo wa Madaktari hao ili kuhakikikisha kuwa Ofisi aliyojiuzulu aitawaliki.Wachambuzi wa mambo wanasema kuwa Waziri Mkuu Pinda ameshaung'amua mpango wa Lowassa na ndio maana alijitosa mojakwamoja kwenye sakata hilo.

  Watu wa karibu wa Lowassa ambao wanatumiawa kutimiza mpango huo wameapa kuifanya Ofisi ya Waziri Mkuu kuwajibika badala ya Wizara ya Afya inayoongozwa na Dr,Haji Mponda.Lowassa anacheza mchezo salama?
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yatasemwa mengi sana mara tutasikia CDM mara Lowassa n.k

  Hoja ya msingi je kuwa madaktari wamepotoka au wana hoja? Tuanzie hapo.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa maelezo ya Dr Mponda - waziri wa Afya ni kwamba Dr Ulimboka alihusika pia kwenye mgomo mwingine wa madaktari 2005. Je, huko nako Lowassa alihusika?

  Pia madaktari wametoa list ya kero zao, je, serikali ilitatua kero hizo lakini madaktari bado wakagoma? Ni rahisi san kutafuta visiongizio lakini mambo ya msingi yatabakia pale.
   
 4. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Craaaaaaap!
  Mudslung politikz, this is very low ewe kibaraka unaelipwa kumchafua Lowassa. Tumechoka na thread daily zisizo na mshiko
  Nyambaaaaf!
   
 5. a

  adobe JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  acha uharo wako kwenye choo chako cha shimo nyumbani kwako
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hiyo pia ni mbinu ya kujisafisha kwa El
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Zisizo na mshiko wakati mwenzio keshawezeshwa na lowasa
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mtakuja na mengo na mshaweka mengi humu kwakumsafisha lowasa ili ukweli utasimama palepale hatufai kutuongoza kama tu alipewa u PM akatufanya masiki kivile je akiingia ikulu itakuwa je?
   
 9. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  tuulize tulioanzisha mgomo tukuambie ukweli.mambo ya kumchafulia mtu kisiasa is bullshit...plz keep siasa out of this issue,we are dealing na maisha ya watu
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Pambafu zako
   
 11. Mcmamo

  Mcmamo Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanachodai kna mantk au la? Mambo mara El anahucka au la co ya mcng sn
   
 12. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ngoja nikuongezee hoja-..........inasemekana lowasa anamtumia sana yule mtoto wake ambaye ni daktari.mtoto huyu wa lowasa ameonekana akipata dina mara kadhaa na dr ulimboka.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tafuta mwanaume akushindilie n.y.u.m.a kama unawashwa na tigo
   
 14. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,549
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280
  Sisi yetu macho tunaangalia mapambano kati ya wanaolipwa kumchafua na wanaolipwa kumsafisha!!!! :lol::lol::lol:
   
 15. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwenzio kataka kujuzwa juu ya hilo! Ukiona inakuuma sana, pisha wadau watoe hoja zao! Lakini pia utambue kuwa si kila thread humu inakuhusu! HAYA TUPE IZO THREAD ZENYEWE ZENYE MASHIKO! Nyambaaaf na ikurudie mwenyewe!
   
 16. Taifaletu

  Taifaletu Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ata kama atajwe nani kuwa nyuma ya mgomo,swala kuu ni hoja yao ina mashiko au la?
   
 17. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha! Asante kumwongezea la kusema. Mgomo wetu hauna muingiliano na siasa wanakaribu kusaka namna ya kutuvunja nguvu, sisi sio walimu wanaotangaza migomo kila mara
   
 18. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha! Asante kumwongezea la kusema. Mgomo wetu hauna muingiliano na siasa wanakaribu kusaka namna ya kutuvunja nguvu, sisi sio walimu wanaotangaza migomo kila mara ila hatujaona mgomo ukitimia
   
Loading...