Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Kila budget inaposomwa utasikia kodi ya vinywaji iko juu.sio mbaya labda mnataka tuache unywaji wa kupindukia.ombi letu sisi kama wanywaji na wachangiaji wakubwa wa kodi serikalini ni moja;tunaomba mboreshe huduma za matibabu haswa upande wa matibabu ya moyo,figo na ini.haya magonjwa yanaua sana walipa kodi wenu!tukumbukeni na sisi walevi jamani!tambueni mchango wetu kwenye budget jamani!