Kipimo cha Uongozi ni Changamoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipimo cha Uongozi ni Changamoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mo-TOWN, Feb 6, 2012.

 1. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Inasemekana kuwa kipimo cha uongozi ni pale zinapojitokeza chamgamoto ...Viongozi wetu wa kisiasa wamefanikiwa vipi kiuongozi ktk kushughulikia changamoto zifuatazo

  Umeme
  Kupanda kwa gharama za maisha
  Ufisadi
  .........
  .........

  Tujadili
   
Loading...