CCM atasimama nani 2015?

Domowazi

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
203
27
Hivi ndugu wananchi wenzangu enbu nisaidien nani anatetesi zozote kuhusu atakaesimama kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015?
 
Hivi ndugu wananchi wenzangu enbu nisaidien nani anatetesi zozote kuhusu atakaesimama kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015?

Chapuo wanapewa watu wawili.
1.WASIRA-hana kashfa na ni MZALENDO, uwezo kusimamia serikali.
2.SITTA-anapinga ufisadi na uwezo wa kukemea.
 
Duu huyo prince Ridhiwan hata wana CCM cjui kama watamkubali..!
 
Back
Top Bottom