sisi kwa sisi
Senior Member
- Feb 1, 2012
- 119
- 2
Nimesikiliza redio moja ya kiislam leo , yaani redio imani. masheikh mbali mbali walisikika wakimlaumu mkuu wa Mkoa wa Mtwara Joseph Simbakalia kwa madai ya kwamba licha ya serekali kuwaruhusu wanafunzi waliofukuzwa ndanda yeye anajaraibu kuweka vikwazo.
Wanadai hii ni mbinu ya Mkuu wa Mkoa huyo kuwachelewesha watoto hao kuhudhuria shule ili waislam waingie jazba na kuanza kumshutumu kikwete . wanadai hii ndio mbinu anayotumia mkuu wa Mkoa huyo hiyo ili kuifanya tz iChini ya JK kwa kuwa ni muislam isitalike kama wanavyonukuliwa na baadhi ya wanasiasa nchini, wanadai hii ndio sera za hata viongozi wa kitaifa wakiona rais muislam.
walidai amekataa kutii amri ya waziri Kawambwa kwa kuwa ni muislam tu. walifananisha na utawala wa Mwinyi, Migomo ilienea kila sehemu .
Akihojiwa na redio hiyo unamuona hasa mkuu wa Mkoa huyo anavyochikanganya chakanya kuhusu swala hilo na kushindwa kujibu maswali ya msingi.