vipi kuhusu sheria ya kuendesha kumbi za muziki .je hakuna ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vipi kuhusu sheria ya kuendesha kumbi za muziki .je hakuna ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by morenja, Feb 6, 2012.

 1. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,517
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  nashindwa kuelewa hapa arusha .kuna kumbi ya muziki kwa jina la active club hipo kata ya sombetini .inapiga muziki kwa sauti kubwa .atulali usiku kuanzia jumanne mpaka jumatatu .ni kilele kwa kwenda mbele .tumelalamika kwa katibu mtendaji .kwa mkurugenzi wa jiji ,kamanda wa polisi mkoa .,nakumalizia .,tume ya sheria na haki za binadamu mkoa wa arusha .lakini hakuna hatua iliyochukuliwa kusimamisha kelele hizo mwaka wa sita sasa ,naomba mtusaidie wanajamii
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mwaka wa sita bado huja zizowea tuu? umesemaaweeeeeeeee hakuna alokusikia bado unasema tena? nadhani kama umepanga hapo hama tafuta nyumba kwengine uepuke zogo, la nyumba yako itabidi ukubali matokeo .kama umeshawaeleza wote hao na still tatizo bado lipo...
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Fungueni kesi mahakani mshitakiwa wa kwanza akiwa mkurugenzi wa jiji.
   
Loading...