kibudibudi
New Member
- Jan 31, 2012
- 2
- 0
Mwishoni mwa mwaka jana (2011) serikali ilipitisha "sekula" maofisini kuwataka wafanyakazi wa serikali wakope pesa kwa riba nafuu. wengi walijaza fomu za kuomba mikopo hiyo lakini mpaka sasa kimya, naitaka serikali itamke kama itawapa wafanyakazi mikopo hiyo na ni lini.kama wanasubiri uchaguzi 2015 ukaribie vilievile waseme.