Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapendwa habari za kazi, naomba mwenye taarifa atujuze KUNA WAKATI JANUARI AMA DEC TULIFANYA INTERVIEW "WRITTEN" Hapo IFM Madarasa yote kwa kazi mbalimbali NSSF wengine tunaona kimya kama imetoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Katibu mwenezi wa CDM Wilaya ya Kilosa Bw. Raymond Mlama pamoja na mjumbe mmoja wameamua kuhamia ccm kwa kile walichoeleza kuwa wameona ina sera zinazoridhisha na kuwalenga wengi. Source...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Kumbe kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kubatilishwa kwa matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Kawe ambapo Halima Mdee alishinda, ila Chadema wakalazimika kukipigia magoti Chama cha NCCR. Hizi sababu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau salam, naomba mwenye taarifa za KAZI ZA NSSF TULIFANYA INTERVIEW kwenye madalasa ya IFM, mwezi uliopita tunaona kimya ama wamekwisha chukua kimya kimya...mwenye taarifa atujuze.
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Katika hali ya kuhakikisha madhabahu mengine sio ya kuvamia na dhambi zenu naibu waziri ofisi ya waziri mku ametolewa resi na kutimua mbio kunusuru maisha yake na waumini wa kanisa la kkt...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hizi show rooms nazipatia mashaka sana, watu wengi wanaoibiwa magari hapa Dar ni wale walionunua magari yao kwenye show rooms za maeneo hayo. Na uchunguzi wangu mdogo niliofanya magari mengi...
2 Reactions
28 Replies
9K Views
Kumekuwa na tetesi nyingi juu ya hujuma zinazofanywa dhidi ya chadema ili kuidhoofisha!ni dhahiri kwamba tetesi hz huwezi kuzikwepesha na ccm ambao ni wazi kbs hawapendi mafanikio inayoyapata chdm...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi,leo nilitoka dar kuja tabora na basi la nbs ambalo lilichelewa kufika.Hivyo kwa sisi wageni ilitulazimu kutafuta nyumba za wageni.Nimezunguka karibu mji mzima ukiuliza zimejaa.Kwenye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu wana Jamvi! Nimeshangazwa sana na habari kuwa Rais wa nchi amekutana na wamachinga wa Mwanza na kuwapa Tsh.10 ili kuongeza kwenye mitaji yao. Rais amenifanya nijiulize kama anatazuguka nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
William Ngeleja na Hamis Mgenja wapongezana kwa kutapeliwa! KWA siku mbili mfululizo kumekuwepo na propaganda na uzushi mkubwa unaonezwa kupitia njia mbalimbali kuwa Waziri William Ngeleja ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni Redio CLOUDS katika kipindi cha AMPLIFIER nimesikia mgonjwa mmoja katika hospitali ya Muhimbili akilalamika kwa Madaktati wanawaomba rushwa ili kuwapa huduma ya matibu. Aidha mama huyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii nimejaribu kufuatilia kwa kina sana ili nijue ni nini asili ya sisi KUOMBA! tumemshuhudia Raisi Kikwete kila kukicha yeye ni mguu na njia kwenda kuomba misaada! Katika kufuatilia kwangu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu kuna mabishano na kutupiana kwa lugha kali na za matusi kati ya Viongozi wa Chadema Wilaya hapa Mwanza,Vijana hao wanasema tangu jana mmetutelekeza hatujala hadi sasa,wanaonekana sio wenyeji...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
wanajamvi nisaidieni, je ni kupuuzwa kwa mawazo ya wataalam?, Kutothaminiwa kwa wataalam? Nchi kuongozwa na wanasiasa ambao ambao hawathamini taaluma? Tanzania tunatumia fedha nyingi kusomesha...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
  • Closed
Hi. Tulifahamishwa na JF Marketer kuwa Halima Mdee angejiunga na Majamvi yetu kwaajili ya kutupa updates mbalimbali za kisiasa hasa kutokea Bungeni, lakini pia kwa kuzingatia kuwa kulikuwa na mada...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Sijaona kama jambo la kawida chombo au vyombo vya humu nchini kutoripoti kikamilifu habari ya mgomo wa madactor,ninavyoelewa chombo cha habari kinampa taarifa mwananchi hali halisi ya siku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na hali inayoendele katika hospitali ya taifa kazi ya usomaji imekuwa ngumu kwa wanachuo wa mwaka wa 4 na 5 paoja na postgraduates. Mtaji mkubwa kwa wanachuo ni wagonjwa wanaolazwa mnh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utangulizi: Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imefuatilia matukio na maneno mbalimbali yaliyotolewa na CCM na viongozi wake wakuu akiwemo Mwenyekiti wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
na Ghisa Abby, Morogoro KATIBU Mwenezi wa Wilaya ya Kilosa kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…