Chadema walivyokipigia magoti hadi kesi ya uchaguzi Kawe ikafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema walivyokipigia magoti hadi kesi ya uchaguzi Kawe ikafutwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Feb 7, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kumbe kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kubatilishwa kwa matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Kawe ambapo Halima Mdee alishinda, ila Chadema wakalazimika kukipigia magoti Chama cha NCCR.

  Hizi sababu zilizotolewa na SLAA zinadhihirisha wazi kwamba walipiga magoti:
  1. Eti Lengo siyo wapinzani kupingana, bali kupinga Chama tawala:
  2. Eti kesi hiyo haikuwa na maslahi kwa pande zote mbili yaani CDM na NCCR
  3. Eti wamehurumia fedha za walipa kodi endapo uchaguzi ungerudiwa.
  Wakawapiga changa la macho kabisa pale walipowaambia NCCR kwamba ushirikiano hautaishia hapo na kwamba suala la kuwashirikisha katika kambi rasmi ya upinzani bungeni linaweza kuzumzika baadaye. Kwa nini baadaye?

  Mimi ningeshauri maamuzi ya kesi za kisiasa yawe yanaamuliwa na mahakama kutoa adhabu upande wenye makosa hata kama kuna maridhiano baina ya pande mbili kwani wanasiasa watafanya kama mazoea kwa vile watakuwa wanafanya rafu wakati wa uchaguzi ili baadaye wakafanya kama ilivyotokea Kawe.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pole CCM
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Thatha, jidediketie wimbo wa majungu
  Majungu sio mtaji useme ufanye utajirike,
  Ikiwa unaona elimu ni ghali, basi jaribu...
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo wewe unasemaje sasa, acha majungu!
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  NCCR wanavyopenda sifa, wamepima upepo wakaona hawataambulia kiru. bora kumaliza mapema kabisa
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Inasemekana CHADEMA wameingia mkenge wa kumpigia kura Mbatia awe mbunge wa bunge la Afrika Mashariki; ccm pia wamemuahidi hivyo kama malipo ya usaliti wake kwa vyama vya upinzani!!
   
 7. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  cha msingi si yameisha? Au ulitaka iweje? Acha us.....nge.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  We sasa unashauri nini?
  Kila siku tunashauriana hapa kumaliza migogoro kwenye vyama, wewe unaonyesha kutofurahia hilo!
  Ubebwe na mbeleko gani?...huh!
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  NCCR mageuzi na CHADEMA wote ni wale wale..... kaskazini! uchagaism nao umechangia! hata hivyo sawa bana bora yameisha na fedha za walipa kodi zimenusurika kama wanavyotudanganya.
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mimi nashauri hivi:
  -Walioshitakiana( Mbatia na Mdee) wakutanishwe. Wapeane mikono( na busu kidogo na chai).
  -KUB Mbowe afumue Cabinet yake kivuli kuwaingiza Wabunge wa NCCR-M.
  -NCCR wasameheane wao kwa wao pia. Kafulila afute kesi na Halmashauri ya NCCR imsamehe.
  -CHADEMA iwasamehe MADIWANI wake wa Arusha.
  -Jimbo la Sumari waunganishe nguvu kule AruMeru.
  -KATIBA MPYA waunganishe nguvu Bungeni na nje ya Bunge.
  Nawatakia kila kheri kwa masuala yote yenye MASLAHI kwa WATANZANIA na TAIFA.
   
 11. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Umekaa kishankupe shankupe sana.......
   
 12. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  nachofahamu ni kesi alioifungua Mbatia kuhusu kushutumiwa na Halima Mdee kwamba amepokea Bil.Moja ili aje kuzigawa kura za chadema na Ccm kawe..sasa mimi ni mkazi wa kawe unaposema mbatia angeshinda na matokeo yangebadilishwa hata sikuelewi..

  Sidhani kama unajua kwamba Halima ni mwanasheria wa serikali mahakama kuu..
   
 13. zululima

  zululima Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mia kwa mia mkuu. ni vyema ajaribu ujinga kwani elimu ni ghali sana kwake.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  huu muungano hautadumu mana lengo la cdm ni kufutiwa kesi na lengo la mbatia ni kupigiwa kura ubunge wa afrika mashariki.hayo malengo yakitimia na muungano unavunjika.
   
 15. l

  luckman JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mambo yashaisha jamani tujadili issue zingine!!!!!!!!khraaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 16. D

  Detector New Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mleta maada mbona hisia zako zinajulikana?
   
 17. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,112
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Kwani Mbatia akipata ubunge wa afrika mashariki kuna kosa gani? na hapo chadema watakuwa wameingia mkenge gani fikiria kabla ya kusema halafu kumbuka chadema ina wasomi waliobobea. Chadema kwanza ndio wameshinda kwasababu lengo la ccm ilikuwa kutengua matokeo ya jimbo la kawe ili waweze kulichukua. Lakini chama makini likaliona hilo na kuwahi sasa hapo nani mwerevu. chadema, ccm au nccr.
   
 18. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Jamaa ni vigeu geu sana; ngoja 2015 Mbatia atakapodai asimamishwe kama mgombea wa kuiwakilisha ndoa hii ktk jimbo la kawe; Ikija ishu ya kuachiana majimbo ndoa hii itaingia kaburini kifo cha mende
   
 19. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ungekata rufaa wewe na chama chako kwanini utume chama kingine?
   
 20. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  kweli wewe ni thatha
   
Loading...