Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wa Shule ya Ndanda na Udini unaoinyemelea siasa za Nchi yetu.Kikwete kuwa macho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sisi kwa sisi, Feb 7, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)

  Nishani hiyo ilikabidhiwa kwa Simbakalia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa karibu miaka sita, na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Protas Rugambwa kwa niaba ya Papa katika misa ya Ibada ya Krismasi iliyofanyika kwenye Kanisa la Bikira Maria mshindaji mjini Kigoma

  Akisoma hati hiyo, Katibu wa Kanisa hilo Jimbo la Kigoma, Kiliani Teleba alisema anamtangaza Joseph Simbakalia kutoka Jimbo la Kigoma kuwa shujaa wa ukoo bora wa
  Mtakatifu Gregory Mkuu wa Daraja la Kiraia na kumpatia uwezo wa kutumia haki zote zinazotokana na hadhi hiyo.

  Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
  Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa(NA SIO SEREKALI)


  MGOGORO WA SHULE YA NDANDA NA MAJIBU YA MKUU WA MKOA

  MGOGORO wa kidini uliosababisha wanafunzi 20 kufukuzwa shule ya sekondari ya wavulana Ndanda, (Ndanda High School) wilayani Masasi mkoani Mtwara umechukua sura mpya baada ya agizo la serikali la kutaka wanafunzi hao kurejeshwa shuleni kugonga mwamba.

  Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia akihojiwa na TBC leo (Febuari, 6, 2012) alisema ni wanafunzi watatu tu waliorejeshwa shuleni ambao rufaa zao zilisikilizwa.
  Ni kweli serikali iliagiza kurejeshwa kwa wanafunzi hao kwa kufuata utaratibu ambao ulitaka wazai kukata rufaa na kuniletea kwa ajili ya kusikilizwa upya madai yao kasha kutengua maamuzi…ni wanafunzi watatu tu waliofanya hivyo" alisema Simbakalia  HAPA WAISLAM WATEGEMEE NINI KATIKA MGOGORO HUUU HASA UKIZINGATIA AHADI ALIEWEKA MKUU WA MKOA SIKU YA KUKABIDHIWA NISHANI NA KANISA KATOLIKI NCHINI?NA SHULE YA NDANDA NAYO NI YA KANISA KATOLIKI
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kwangu mimi JK ndiye rais bora zaidi kwa kufuta ndoto za uwepo wa mahakama yenye kutoa hukumu za ajabu ajabu

  [​IMG]
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hivi ule mpango wa ku-occupy ndanda umeshafanikiwa?
   
 4. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni wazi mkuu wa mkoa hupata amri ya kanisa kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa
   
 5. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkiitwa wajinga mnasema mmetukanwa.

  Hapo kwenye red ndio kwenye jibu la nini kinaendelea. Tangu sakata hili lilipoletwa hapa JF mara ya kwanza niliizungumzia aina ya wanafunzi walioshiriki utovu ule wa nidhamu kwa jinsi walivyo nyuma kitaaluma na ni wahuni wasiopenda shule. Hawa watatu waliokwenda nafikiri umeona kuwa matatizo yao yamekwisha, sasa labda nikuulize swali: Hao waliobakia ulitaka mkuu wa mkoa awafuate nyumbani kuwaomba warudi shuleni au?
  Mkuu wa mkoa hajaweka ahadi yeyote, hiyo moja na the so called waislamu wategemee kukaa nje mpk watakapoamua kutumia akili zao. Kwani wale wa3 waliorudi wametegemea nini?

  Na jibu kwa hilo swali lako la mwisho ni HAPANA. Shule ya Sekondari ya Ndanda sio ya KANISA, ilijengwa na msikiti wa Manyema ukishirikiana na ule wa mwembechai.
   
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtu aliyeikosa elimu hawezi kujua umuhimu wake kwa hiyo sitegemei mzazi asiyejua nini maana ya shule atachukua juhudi za kwenda kukata rufaa kwa mkuu wa mkoa badala yake ataenda kuzua majungu kwenye vikao vya bao. Mwenye akili huitumia
   
 7. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MwanaHALISI limegundua kuwa miongoni mwa yaliyodanganywa ni kuhusu umiliki wa mtandao mashuhuri nchini wa Jamii Forum (JF).Inaelezwa kwamba ripoti ya Mukama inautaja mtandao wa Jamii Forum kuwa unaundwa na vijana kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
   
 8. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
  Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika
  kanisa(NA SIO SEREKALI)

   
 9. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Duh...! Kwanini ni wanawake tu wanafukiwa na kupopolewa mawe? wapi FaizaFoxy anisaidie kwa hili?
   
 10. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa XVI amemtunuku nishani ya Mtakatifu Gregory Mkuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia kwa utumishi uliotukuka kwa kanisa (KULITUMIKIA KANISA NA SIO JAMII)
   
 11. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema at work. vyama vya kanisa na vijana wa kanisa. Kazi nzuri inayofanywa na msemaji wa Chama mnyika
   
 12. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika kanisa
   
 13. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alhaj Aboud Jumbe, Rais mstaafu wa Zanzibar, ametoa hoja kuonyesha kuwa Waislamu hawatendewi haki na kwamba Kanisa Katoliki limepewa fursa ya pekee nchini.
  Sehemu katika kitabu chake inasema: MTIRIRIKO wa matukio ya kisiasa unaashiria agenda ya siri ambayo inaelekezwa kutumikia Kanisa Katoliki ambalo siku zote linakuwa na uhusiano wa karibu na serikali (hii) yenye kujenga mtizamo wa Kikristo ya Jamhuri ya Muungano na huku Waislamu wakihasirika.
   
 14. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ndio weakness ya jf, usishangae ukasikia hii ni Id ya Mnyika. kaacha bunge kahamia JF mara moja ili kupsot kama hii. chadema na siasa za kitoto
   
 15. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jf inavituko, mod ana user id zaidi 15. hapa Chadema wamefanikiwa
   
 16. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo. Sisemi mengi kwa Joseph kwa sababu dadaye Dr Calister ni dada yangu sana tokea akiwa RCHs, wizara ya Afya.
   
 17. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Shukuru influence ya kanisa ktk nchi hii manake ungezaliwa Saudia ungekuwa huna mama, angetandikwa mawe hadi afe kwa kosa la kukuzaa nje ya ndoa. Mambo yenu yanaashiria nini mnawaza kwa kutwa. Naomba nikuulize, hii ni halali?

  View attachment 46902 Ulitaka Mkuu wa mkoa apewe nishani na huyu au?

  Nenda shule msomali, ni ujinga ndio unawaanya muuane kule kwenu. Wenyewe wanaowafanya mcharazane bakora mkivaa nguo fupi ndio hawa wanayafanya haya hadharani, kazi kwenu msiotumia kichwa kufikiri.

  Ukiambiwa ukweli huishi kusema CDM, kumbe unajua kuwa kweli tupu ipo CDM eeh?
   
 18. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo?
   
 19. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akishukuru kwa nishani aliyotunukiwa na heshima aliyopewa, Simbakalia alisema wakati akija
  Kigoma kutumikia nafasi yake ya ukuu wa mkoa, hakuwaza kama siku moja atatunukiwa heshima hiyo kubwa katika
  kanisa(NA SIO SEREKALI)

  HAPA UNASEMAJE?
   
 20. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hoya, huko Qatar wanadunda mawe mademu kama hapo kwenye picha au wao wako a bit civilized?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...