Re; kazi nssf.

Re; kazi nssf.

MUSONI

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
904
Reaction score
692
Wapendwa habari za kazi, naomba mwenye taarifa atujuze KUNA WAKATI JANUARI AMA DEC TULIFANYA INTERVIEW "WRITTEN" Hapo IFM Madarasa yote kwa kazi mbalimbali NSSF wengine tunaona kimya kama imetoka tujuzane.
Siku njema.
 
Nenda NSSF kawaulize au wapigie simu usitujazie Server
 
Back
Top Bottom