CHADEMA yazidi kubomoka, katibu mwenezi atimkia CCM

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Katibu mwenezi wa CDM Wilaya ya Kilosa Bw. Raymond Mlama pamoja na mjumbe mmoja wameamua kuhamia ccm kwa kile walichoeleza kuwa wameona ina sera zinazoridhisha na kuwalenga wengi.

Source: Tanzania Daima
 
Waache warudi nyuma2, lakini sisi vijana 2po na 2tapgania chadema mpaca kieleweke.
 
Katibu mwenezi wa CDM Wilaya ya Kilosa Bw. Raymond Mlama pamoja na mjumbe mmoja wameamua kuhamia ccm kwa kile walichoeleza kuwa wameona ina sera zinazoridhisha na kuwalenga wengi.

Source: Tanzania Daima

mtoa mada kama zimemruka??? sera gani ambazo zimeshindwa kumkwamua mtanzania sasa zaidi ya miaka 48 iliyopita???akili gani unatumia au wewe unaishi ughaibuni huelewi sarakasi zilizopo tanzania?wakatu mwingine unatumia akili zako kuandika mada fulani kwa kuhoji na kudadisi uhalali na ukweli wa mada husika!
 
heading inasema 'Chadema yazidi kubomoka', kwa hiyo kinyume chake ni kuwa "CCM yazidi kuimarika"!???

yaani fikira za wengine wetu utadhani bado tuko karne ya 19!
 
Kikwete Mwenyekiti wa Hicho chama walichotimkia, Sasa anaona ikulu kama jehanam, Nyerere aliposema ikulu kuna biashara gani hata mtu apakimbilie wadhani alikosea?? Alisema mwenyewe Mzee mchonga, Ikulu ni mzigoo? JK anatamani hata kesho atimke aachane na hii kazi, halali baba Riz mguu na njia kuisaka amani lakini kila anapopita anavuga kama alivyokuwa mwanza anataka magamba wajigandue bila kuganduliwa..Subutuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Ni kweli, hakuna chama chenye sera nzuri kama ccm hilo halina ubishi.
lakini zinatekelezeka? na wao wenyewe wanazisimiamia?

Nadhani watanzania wanatakiwa kuwa very focused na kuachana na tabia
ya kuendeshwa na matukio, kwa mfano tukio kama hili halina uhusiano wowote
na CCM kuimarika wala CDM kudhoofika.

Tanzanians needs to have faith in what they need and pursue it. Changes
 
Waache waondoke hao ni mamluki wa CCM. Wengi wanazidi kujiunga na Chadema kila siku.
 
Hakyanani kukosa information ni sawa na kukatwa kichwa!
Can someone say that SERA ZA CCM ZINAELEWEKA wakati mwenye chama mwenyewe amekiri hadharani kuwa hali ni mbaya sana, na kuwa sera za chama chake zimeifikisha nchi mahala ilipo sasa, ambapo imeishiwa fedha, hoi bin taaban!
Labda magazeti yanafika huko baada ya wiki 2 tokea kuzalishwa.
 
Kikwete Mwenyekiti wa Hicho chama walichotimkia, Sasa anaona ikulu kama jehanam, Nyerere aliposema ikulu kuna biashara gani hata mtu apakimbilie wadhani alikosea?? Alisema mwenyewe Mzee mchonga, Ikulu ni mzigoo? JK anatamani hata kesho atimke aachane na hii kazi, halali baba Riz mguu na njia kuisaka amani lakini kila anapopita anavuga kama alivyokuwa mwanza anataka magamba wajigandue bila kuganduliwa..Subutuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Well said
 
mtoa mada kama zimemruka??? sera gani ambazo zimeshindwa kumkwamua mtanzania sasa zaidi ya miaka 48 iliyopita???akili gani unatumia au wewe unaishi ughaibuni huelewi sarakasi zilizopo tanzania?wakatu mwingine unatumia akili zako kuandika mada fulani kwa kuhoji na kudadisi uhalali na ukweli wa mada husika!

Sasa hapo mtoa mada anakosa gani? Si amekwambia chanzo cha habari ni Tanzania Daima sasa chizi wewe au mleta mada?
 
kuna wengine huku chadema ni mzigo kwa kuwa hamna wafanyacho. waache waende, siku akili zikiwarudi watakuja upya
 
ccm ina sera nzuri hata repuplican hawana hilo halina ubishi,
je kimeshindikana nini hadi kila kitu kimesimama?
 
Katibu mwenezi wa CDM Wilaya ya Kilosa Bw. Raymond Mlama pamoja na mjumbe mmoja wameamua kuhamia ccm kwa kile walichoeleza kuwa wameona ina sera zinazoridhisha na kuwalenga wengi.

Source: Tanzania Daima

Hivi mlafi mmoja akiondoka kundini unaita kubomoka au kujengeka?

Hizo ni mbao za kumwagia zege, likikauka lazima ziondolewe, CDM haibomoki kwa SHE-Buda mmoja kuondoka.
 
Katibu mwenezi wa CDM Wilaya ya Kilosa Bw. Raymond Mlama pamoja na mjumbe mmoja wameamua kuhamia ccm kwa kile walichoeleza kuwa wameona ina sera zinazoridhisha na kuwalenga wengi.

Source: Tanzania Daima
they have exercised their constitutional rights!!
 
Back
Top Bottom