Je, Ni Kweli Hoteli Hii Ni Ya Mkulu?

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
Wenyeji wa Bagamoyo wanadai ni ya Mkulu japo katika makaratasi mmiliki ni mwingine.

Kwa nyuma ni moja kati ya majengo ya kale ya kihistoria ambayo inasemekana ilikuwa ni Posta.

Hongera sana Mkulu kwa Ujasiliamali.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • DSC00073.jpg
    DSC00073.jpg
    100.1 KB · Views: 1,516
  • DSC00071.jpg
    DSC00071.jpg
    107.1 KB · Views: 1,559
  • DSC00061.jpg
    DSC00061.jpg
    90.1 KB · Views: 1,552
  • DSC00060.jpg
    DSC00060.jpg
    54.2 KB · Views: 1,527
  • DSC00059.jpg
    DSC00059.jpg
    63.1 KB · Views: 1,523
Is this the hotel near Msalabani? If yes, is it not owned by the church? Kama amejenga kwa kufuata taratibu bila kuzikiuka, well and good! Otherwise poleeee.
 
Iko karibu na Soko la Samaki au TRA.

Si ya Kanisa.
 
Kama amejenga kwa kufuata taratibu bila kuzikiuka, well and good! Otherwise poleeee.

Hii aina ya kukalia vyeo na kufanya ujasiliamali ndo iliyotufikisha mataifa mengi ya Afrika hapa tulipo. Swali langu je hawa watu wakistaafu hawaendeleagi kulipwa? Kama ndio sasa wanajiwekezea vya nini kama sio tamaa.

Natamani kwenye Katiba kiwe kigezo cha kuwabana Rais na mawaziri. Kufanya ujasiliamali pindi wawapo madarakani ili wanaoutamani waende kwa step sio Papara kama hawa wetu na haya yote ndiyo yanawafanya mwisho wake kuwa mbaya kama Tunisia Misri nk
 
Kila nikienda Bagamoyo lazima nipite hapo sokoni kula samaki.

Mara ya mwisho nilipeleka binti kwenye ile interview kanyabwoya ya St. Marrian nami kwenda ku barz sokoni hapo ndipo nikaonyeshwa mjengo na kuelezwa ni ya Mzee kiwazi wazi na kihalali na sio kisiri siri kama Grumeti!.
 
Watanzania mbona tumelalwa hivi? Jamani tuamke kungali adhuhuli. Mnaojiita wasomi mko wapi? Au mmejificha JF kwa majina bandia? Ushujaa uko wapi? Ujasiri umesafiria njia gani?

Tutumie elimu zetu kutokomeza hii kitu Maxene kajaribu kupitia JF lakini hajaweza maana ujumbe haufiki ipaswavyo je njia mbadala ni ipi? Inauma sana hii
 
Si mbaya kama ni kutokana na pesa halali na siyo ya Richmond, otherwise Pasco mbona mahali hapo ni kama imejengwa karibu sana na ufukwe wa bahari? sheria ikoje kuhusu vitega uchumi kandokando ya bahari na uchafuzi wa mazingira ya bahari?
 
Kila nikienda Bagamoyo lazima nipite hapo sokoni kula samaki.

Mara ya mwisho nilipeleka binti kwenye ile interview kanyabwoya ya St. Marrian nami kwenda ku barz sokoni hapo ndipo nikaonyeshwa mjengo na kuelezwa ni ya Mzee kiwazi wazi na kihalali na sio kisiri siri kama Grumeti!.

Umenikumbusha mbali sana.........miaka ya 1980 alikuja bondia mmoja toka Burundi akiitwa Sigmund Kanyabwoya na kutamba kuwa atawapiga mabondia wa bongo..........akaishia kupigwa yeye mapambano yote.......ndiyo likaja neno hili
 
hehehe kumbe ndio asili yake io, aisee asante sana.
 
Watanzania mbona tumelalwa hivi? Jamani tuamke kungali adhuhuli. Mnaojiita wasomi mko wapi? Au mmejificha JF kwa majina bandia? Ushujaa uko wapi? Ujasiri umesafiria njia gani?

Tutumie elimu zetu kutokomeza hii kitu Maxene kajaribu kupitia JF lakini hajaweza maana ujumbe haufiki ipaswavyo je njia mbadala ni ipi? Inauma sana hii

hapo kwenye kijani. ulikusudia nini? hata wanaume?
 
Kila nikienda Bagamoyo lazima nipite hapo sokoni kula samaki.

Mara ya mwisho nilipeleka binti kwenye ile interview kanyabwoya ya St. Marrian nami kwenda ku barz sokoni hapo ndipo nikaonyeshwa mjengo na kuelezwa ni ya Mzee kiwazi wazi na kihalali na sio kisiri siri kama Grumeti!.

Wewe Grumeti si ya Kikwete, ile inamilikiwa 100 % na ptj , bilionea wa ki america anaefanya mashughuli ya mahisa huko us, na ndomaana wa us hawaishi kuja huko, mfano bill, bush nk.
tena hiyo hotel ni imekamata tuzo yakuwa hotel bora duniani 2011/12 . kwa taarifa yako. Kikwete hausiki hapo.
 
Back
Top Bottom