Nimeisikia hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeisikia hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyabhingi, Feb 8, 2012.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  rafiki yangu ni geologist pale buzwagi,kaniambia inapokuwepo dhahabu kuna na silver tena kwa ratio ya 3:1 yaani kila dhahabu moja kuna silver tatu au zaidi,mkataba walioingia wazungu na serikali ni wa kuchimba dhahabu lakini jamaa wanaondoka na silver kila siku...na kanidokeza ridhiwani ana mkono kwenye silver inayopatikana kwenye huo mgodi..

  i heard this from the horse's mouth..usiniulize evidence...kama unajua otherwise tufahamishe..
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  :A S-confused1::frusty::rapture:
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Edited
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  asante kwa taarifa mkuu...kumbe tuna utajiri hivi,,..
   
 5. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu Nyabhingi...heshima mbele.

  Naona hapo juu taarifa uliyopewa haiko sahihi, sababu kuna taarifa kamili kuhusu suala hili iliyofanywa na Wakala wa Ukaguzi Madini Tanzania. Nimetoa tu dodoso kutoka kwenye taarifa hiyo, lakini unaweza kuisoma taarifa kamili kwenye tovuti ya Wakala kupitia http://www.tmaa.go.tz/images/uploads/A_Study_on_Viability_to_Construct_a_Copper_Concentrate_Smelter_in_Tanzania1.pdf

  Kuhusu Mgodi wa Buzwagi, taarifa inasema....nanukuu

  "Buzwagi Gold Mine


  Buzwagi Gold Mine (BZGM) is located in the Kahama District - Shinyanga Region. The mine is 6 km southeast of the town of Kahama. BZGM is wholly owned by Pangea Mineral Ltd, which is a subsidiary of Barrick Gold Corporation. Mineralization at BZGM occurs in shear zones within host rocks. Gold mineralization occurs in association with sulphides (pyrite) and quartz, and as free grains while copper mineralization occurs as primary sulphides (chalcopyrite).

  Processing Method

  Three mineral processing methods are mainly employed at BGM and BZGM to recover gold from the ore, which are gravity, froth flotation and carbon-in-leach (CIL). Copper Concentrate at BGM and BZGM is recovered through froth flotation process, accounting for approximately 60% of the gold produced. Gravity and CIL recovery accounts for the remaining 40%. The production of gold bars and Copper Concentrate at BGM and BZGM started in April, 2001 and May, 2009 respectively. Copper Concentrate comprises of the following major products: copper (average assay 15%), gold (average assay 0.02%) and silver (average assay 0.02%), copper being in higher concentration than the rest, hence the product named Copper Concentrate."


   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tunazidi kuibiwa jamani tuungane na madaktari sasa kuupiga chini huu uongozi wa CCM mbovu
   
 7. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145

  Mkuu wewe unaamini hizi report zinazoandikwa kifisadi? ingekuwa taasisi hii sio hizi za uma ninazozijua mimi ningekuwa na uhakika 98% na hiyo ripoti lakini kwa hawa......mmh, ukute hata mwandishi wa ripoti alimegewa chake apotoshe hadhira. BONGO KILA MTU FISADI KATIKA NAFASI YAKE.
   
Loading...