mh halima mdee

morenja

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,519
1,851
nasikia umejiunga na jf ,tafadhali naomba mwambie mh Godbless lema .jimboni kwake arusha atulali kelele za mziki kutoka ukumbi wa active club .uliopo mbauda kata ya sombetini ,tumelalamika kwa mtendaji kata ,diwani wa ccm ,mkurugenzi wa jiji , kamanda wa polisi ,na kumalizia tume ya sheria na haki za binadamu lakini wapi mwaka wa 7 sasa.wameshindwa kuzuia mbali ya kuwepo sheria mpya ya kumbi za muziki ,mh tunaomba mbunge wetu atumie nguvu za umma
 
Subirini miaka mingine saba watawatatulia tatizo wala msihofu serikali ya ccm ni sikivu
 
nasikia umejiunga na jf ,tafadhali naomba mwambie mh Godbless lema .jimboni kwake arusha atulali kelele za mziki kutoka ukumbi wa active club .uliopo mbauda kata ya sombetini ,tumelalamika kwa mtendaji kata ,diwani wa ccm ,mkurugenzi wa jiji , kamanda wa polisi ,na kumalizia tume ya sheria na haki za binadamu lakini wapi mwaka wa 7 sasa.wameshindwa kuzuia mbali ya kuwepo sheria mpya ya kumbi za muziki ,mh tunaomba mbunge wetu atumie nguvu za umma
Nyie vp aisee!
Miaka saba nzima hamjazowea tu?...mbona watu wanaoishi nyumba zilizopo jirani na Highway wanazowea kelele za magari, na wanapiga usingizi mbaya kabisa?
 
Back
Top Bottom