kulikoni TBC

taranda

Member
Jan 31, 2012
84
10
Ivi hawa TBC kukata matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni ni kutukatia ili wananchi tusiskie ripoti ya kamati kuchunguza madai ya madaktari au ni vipi? Toka Tido kaondoka TBC imekua magamba asilimia mia
 
Kuna thredi za kutosha zilizokua zikimlaumu Tido kupendelea CCM. Cha ajabu siku hizi na hasa baada ya kuondoka anaonekana shujaa, sijui kwanini?N
Na hata sita siku izi anaonekana mpinga ufisadi wakti kuna thredi za kuanika ubadhilifu wake. Wakati mwingine huwaga siielewi JF.
 
nawe umekurupuka tuuu, ulikotoka na kuwasha tv kukuta hakuna bunge ukaishia kuiponda TBC, Muwe munauliza b4 kupost, au usiwe unapost vitu coz unahasira na TBC,

Bunge limehairishwa mpaka kesho asubuhi. au ulitaka TBC watuonyeshe mabenchi ya ukumbini the whole day???
 
Wewe ndio umekurupuka kujibu..TBC wamekata toka kipindi cha maswali na majibu. Wakati anajibu swali la mbunge wa kindoni palepale TBC ikaingia mitini. Huna tofauti na magamba kutoa kauli za ovyo ovyo ***f
 
Re: kulikoni TBC

Kiongozi yaani watu hawako makini aisee​
 
nawe umekurupuka tuuu, ulikotoka na kuwasha tv kukuta hakuna bunge ukaishia kuiponda TBC, Muwe munauliza b4 kupost, au usiwe unapost vitu coz unahasira na TBC,

Bunge limehairishwa mpaka kesho asubuhi. au ulitaka TBC watuonyeshe mabenchi ya ukumbini the whole day???

Kwani Bunge siku hizi wanafanya kazi masaa mangapi kwa siku? kama wanaona hawana kazi kwa nini muda wa kukaa Dodoma usipunguzwe ili waweze kufanya kazi masaa 8 kama Watanzania wengine? Naona tendendecy ya kufanya kazi masaa 2 kwa siku sasa inazoeleka Dodoma huu ni wizi wa wazi kwa Kodi za watanzania na dawa ni kufuta hata hiyo 70,000/= mnayolipana mngefanya kazi ili muondoke mapema.
 
Wewe ndio umekurupuka kujibu..TBC wamekata toka kipindi cha maswali na majibu. Wakati anajibu swali la mbunge wa kindoni palepale TBC ikaingia mitini. Huna tofauti na magamba kutoa kauli za ovyo ovyo ***f

teh teh may be tatizo ni huko uliko but, sio huku tuliko tunaipata tbc safi mpaka mwisho wa bunge, mpaka bunge limehairishwa iko okey.
 
Back
Top Bottom