Mkusanyaji madeni wa NHC nusura auliwe na mpangaji

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,638
Ni Josephat leo kaingia choo cha kike,alitaka kumtolea vyombo mpangaji wa NHC,jamaa kaingia ndani katoka na mguu wa kuku akapiga hewani,hata hvyo kina rasi makunja waliwasili katika tukio na magitaa ya kufa mtu na kufanikiwa kum-weka chin ya ulinzi mkali huyo mpangaji

Sos ch10
 
Mods plz unganishen hii sredi kwa haraka nimeona kama nne hv na habari ni moja
 
Dawa ya deni ni kulipa deni na si kufyatua risasi hewani,huyo mzee sasa ananyea debe na kesha chakula cha mbu
 
Back
Top Bottom