Kumbe jk ni chadema

kibudibudi

New Member
Jan 31, 2012
2
0
Wakimpigia tu kura ya kutokuwa na imani nae anahamia CHADEMA. sasa hivi mwana Ccm yeyote anafanya chochote na wakimtisha kmfukuza aseme atahamia CHADEMA, baaasi wanafyata mkia.Mkuu wao kakubali hoja zote za CHADEMA, mpaka wabunge wake wamekiri kwamba wakurugenzi wote wa halmashauri ni CHADEMA tupu, yaani wamechaguliwa na CHSDEMA mwenzao!
 
Back
Top Bottom