Naomba updates za form six leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba updates za form six leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bakulutu, Feb 8, 2012.

 1. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Hello jf,
  Leo mitihani ya kidato cha sita imeanza,imefanyika au laa,na wale wanafunzi wa ndanda wanafanya mitihani kama kawaida au laa?
  Nipo sehemu ngumu kidogo kwa redio kushika.
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Imekaa kiunafiki hii. Mitihani f6 inaaza leo, mambo ya ndanda ni heri umuachie Ndanda Kossovo mwenyewe na bendi yake.
   
 3. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Mnafiki ww uliewaza unafiki kabla huja post..sorry mods..kaniudhi huyu.Hacha greater thinker wachangie na sio ww mpita njia.
   
Loading...