Leo Form Six wameanza Exams. Kulikoni Necta mbona hawajatangaza?

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,985
2,770
leo ni siku ambayo vijana wetu wa form six wameanza mitihani. nashangaa hakuna chombo cha habari kilichotangaza habari hii kuanzia RADIO, TV NA MAGAZETI. kulikoni mbona wa darasa la nne la saba walitangaza? au Baraza limesahau kutangaza?
 
maajabu ya JK

Kwani lazima watangaze? Kuna mwanafunzi wa kidato cha sita ambaye hajui kuwa leo anatakiwa awepo darasani?
Hakyanani JK kazi anayo, maana kwa sasa kila kitu kisipoenda sawa ni yeye.:shock:
 
watangaze ili iweje? hiyo hela ya kutangaza si bora watengeneze answer sheets za wanafunzi
 
Hawana haja ya kulipa eti itangazwe. Wenye vyombo vya habari wanaweza ongelea wakati wa news kama news tu. Wakitaka wanaweza jadili lolote juu ya hilo kwenye vipindi vyao.

mie nashangaa kwanini wanatangaza ili iweje? Kama wanafunzi wanahudhuria masomo darasani si watakuwa wanajua? au kuna sababu zinasaidia sizijui niambie?
 
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita, tunatarajia mwaka huu mtafanya vizuri. Mungu awasaidie wadogo zetu.
 
Back
Top Bottom