Kikwete hakuna kuachia ngazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete hakuna kuachia ngazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kingadvisor, Feb 7, 2012.

 1. kingadvisor

  kingadvisor Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raisi Kikwete amekuwa akisumbuliwa sana siku za karibuni na watu kumtaka aachie ngazi hilo haliwezekani na haliruhusiwi sababu
  1.Yeye kachaguliwa na watanzania wote si chama fulani tu.Hivyo chama fulani kikitaka aondoke ni sababu isiyo na maana wao ni minority na si majority
  2.Kuna wabunge kwa hasira zao za kukosa vyeo na kukosa posho walizokuwa wakilipwa mara mbili mbili na kukosa nyongeza za posho wanamtolea macho wakiota atoke kwa hasira za ulafi wao hiyo si sababu ya maana ya kumfanya aachie ngazi
  3.Kuna kundi la viongozi wa awamu zilizopita ambao walidhania uongozi ni hati miliki unayotakiwa ukiwa nayo uendelee kushika madaraka sehemu nono kila awamu inayoingia hadi ufe au ustaafu.Kikwete kabidili hali hiyo kawatupa nje waliozoea kudhani madaraka ni hati miliki kuanzia majeshini,serikalini na kwenye mashirika kaweka sura mpya na za vijana waliokuwa wako kwenye makabati ya kusahauliwa hilo linawauma hao waliozoea kuona uongozi kama hati miliki hivyo kujiona wamesahaulika na kutangaza vita za kutaka aaachie ngazi.Hahitaji kuachiia ngazi uongozi si hati miliki Kuwa kama ulikuwa kiongozi awamu fulani uendelee inayofuata.Kikwete kaweka rekodi ya kukomesha mtindo wa watu kuona kuwa uongozi ni hati miliki.Hana sababu ya kupata presha sababu ya kundi hilo
  4.Kundi la wafanyabiashara wahuni na wapambe wao wanasiiasa wahuni na viongozi waandamizi wahuni wa serikalini na vyombo vyake waliozoea kujitoea mihela serikalini na mashirika yake kwa michoro ya aina mbalimbali kuanzia EPA,RICHMOND,n.k ambao kawapiga chini wao na michoro yao hao nao wanapiga yowe hawa nao wameshupalia aachie ngazi kwa kupitia wapambe waliozagaa ndani ya CCM,na ndani ya vyama vya upinzani.Wanamtaka aachie ngazi ili waibe sana si kuwa wanaitakia nchi mema hakuna kitu uongo mtupu.Hata kama Kikwete ni Mwizi ni heri kuliko l likiingia hili kundi nchi itabaki nyeupe haina kitu.
  5.Kuna wale walioahidiwa vyeo fulani wakati wakati wa chaguzi zilizopita ambao baada ya Kikwete Kushika madaraka hakuwapa hao nao imekuwa nongwa wanataka aachie ngazi hawa wanafanya hivyo kwa maslahi binafsi si ya Taifa.Hana sababu ya kuachia ngazi kwa ajili ya hao.
  6.Kuna wale ambao wanadhani kashindwa kazi na wanamshupalia ajiuzulu.Wanasahau kuwa uraisi ni taasisi.Akishindwa katibu mkuu si raisi kashindwa.Akishindwa Waziri si Raisi Kashindwa.Kundi hilo linataka kila kitu abebe Raisi sukari ikikosekana Raisi ajiuzulu,Dawa zikikosekana Raisi ajiuzulu.Kundi hili nalo ni kundi la waota ndoto ambao kila kitu huota Raisi tu.Halijui nani anahusika na kipi kwao kila kinachoshindikana au kuharibika Rais anahusika iwe ni mahakamani,bungeni ,na serikalini.Kundi hili linajua Raisi tu si mtu mwingine.
  7.Kuna makundi ya kidini ambayo yalikuwa yakipata ruzuku au kupata misamaha ya kodi ambayo walikuwa wakiitumia vibaya kujineemesha KIBINAFSI kwa mgongo wa dini.Baada ya misamaha hiyo na ruzuku hizo kupungua au kuziondoa au kuziba mianya waliyokuwa wakitumia baadhi ya viongozi wa dini waliokuwa wamezoea michoro wamekuwa maadui wakubwa wa Raisi Kikwete wakizurura huko na huko kwenye dini zao na mikusanyiko ya dini zao kumtangaza kuwa hafai aachie ngazi sidhani kama hii ni sababu tosha.

  Kwangu sioni sababu ya Raisi kuachia ngazi sijaona hoja nzito.Naomba aachwe amalize salama muda uliobakia wa uongozi wake kwa amani na utulivu.
   
 2. w

  wamwala Senior Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Akiharibu anaanchia ngazi tunachoangalia ni maslahi ya wananchi
   
 3. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haki ya kuachia ngazi isitumike vibaya. Kweli mtu afanye varuvaru halafu aachie ngazi tu. Kosa la kuhujumu nchi hilo. Kwa mtizamo wangu, sidhani kama Raisi anahaki ya kuachia ngazi sasa - taifa hata fedha hamna. Nimekosea, nadhani haki anayo, lakini mtu anayefanya varuvaru anapaswa kurekebisha baadhi ya mambo. Nadhani, Kikwete anahitajika kuingoza tanzania - kusafisha huu mkanganyiko uliopo.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jk wimbo unaoitwa jiuzulu umekosa vina na vibwagizo vingi umekosa utamu wa kuusikiliza. Usithubutu kujiuzulu
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wimbo wa jiuzulu umeimbwa sana na chama cha maandamano kwa sasa umeanza kuchuja. Huna sababu ya kujizulu sasa kama hukufanya hivyo huko nyuma. Kuna nyimbo zingine ziko studio hazijatoka bado usijiuzulu malizia kipindi chako.
   
 6. K

  Karry JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Pamoja Mr. President hao waroho wa madaraka na wachumia matumbo yao endelea kuwabana mpaka wajifunze kutafuta vipato vya halali, kaza buti wajanja tuko nyuma yako
   
 7. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tena kama ingewezekana Rais angevunja Bunge arudi tena kwa wananchi tuwahukumu, tuone kama watarudi tena bungeni. Kingine kinachomcost Mr prezdaa ni jina lake na Imani yake kuwa tofauti na wale wa mlengo wa kushoto
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakika naapa sitampigia kura mgombea yeyote muislam ktk nchi hii
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ili usipate tabu, tugawane nchi hii, Wagala kwao na Waislamu kwao!
   
 10. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  crap!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...