Kesho jumatano saa 3 asubuhi maandamano kuanzia kituo cha haki ya sheria tafadhali mwambie mwenzako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho jumatano saa 3 asubuhi maandamano kuanzia kituo cha haki ya sheria tafadhali mwambie mwenzako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchaga 25, Feb 7, 2012.

 1. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kesho maandamano kuanza saa tatu asubuhi mbele ya kituo cha sheria na haki za binadamu kilichopo kijitonyama, nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii. tafadhali kabla maafa ya hayajakuwa makubwa tuhudhurie bila kukosa kwa mapenzi mema ya nchi yetu

  Allah awaongoze, Mungu awaongoze, Mizimu iwaongoze, Miungu iwaongoze. Uzalendo uwaongoze, upendo Uwaongoze, Budha awaongoze, Jah Awaongoze.....

  Beba bango lenye ujumbe wako.
   
 2. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Maandamano kuhusu nini hebu kuwa specific
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Maandamano kwa ajili ya nini? na nani anayaratibu?
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Huna lakufanya? Nakuuliza huna la kufanya, usicheze za hisia za watu hayo maanadamano katangaza nani?
   
 5. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hatimaye aliyoyataka kikwete yametimia, maandamano kuanza kesho kupinga kunyanyaswa wagonjwa, madaktari, wananchi na mabeberu wasio na chembe ya utu wanaoitwa wabunge.

  source LRHC
   
 6. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nitakwenda hapo hiyo kesho potelea mbali, liwalo na liwe nimepoteza ndugu yangu wa karibu mbwa shenzi serikali
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pole sana Salas kwa kupoteza ndugu wa karibu....
   
 8. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ivi bado mtu unakaa unatype maandamano ya nn?...wakat post zako za nyuma unadai watu hawaingiii barabarani na watz ni waoga!!!!nasema iviii...hamna haja ya kutafuta muanzishaj msijesema CDM imeitisha...sambaza vimemo kesho tuingie barabarani...mwanzo mgumu watz mmezoe amani yenu ya woga..nna hasira ngoja nchore bango...nimempoteza ant yangu leo
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Maandamano ya kuhusu nini?
   
 10. N

  Njangula Senior Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Apandaye upepo, huvuna dhoruba. Hayo wamejitakia kwa kujifanya wababe kutotaka majadiliano na madokta. Maisha ni magumu kwa wafanyakazi wengine pia, hivyo nasi tutakapoanza harakati msijesingizia chadema au nini bali ni mkate hautoshi. Please walimu noeni zana tulianzishe nchi nzima. CWT haina makali inashindwa kujifunza hata Kenya.
   
 11. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  i don't get any picture here.
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Inaonesha huna kazi za kufanya.

  Wewe si ndio ulileta habari kuwa kuna maandamano sijui watu wamekusanyika Mlimani City, yameishia wapi?
   
 13. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Bado kuna tishio la mashambulizi ya Al Shabab kwa hiyo si vizuri kufanya maandamano kwa usalama wenu
   
 14. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tulipofikia tunataka watu kama nyie ili tufike tunakoelekea.......
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  chama cha maandamano= chadema
   
 16. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  tupeane maelekezo kuhusu ayo maandamano jamani uwiiiiiiiiii
   
 17. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Mybe u lost it!
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,519
  Trophy Points: 280
  kitenda cha kutaja mizimu ituongoze umenikata siji
   
 19. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  oooh! FfU sijui watatosha!!
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  wewe ndiye msemaji wa kituo hicho? Ni wapi umetoa taarifa hizo? Huyo mtu aliyekupa habari hii ana madaraka yapi kwenye kituo hicho?
   
Loading...