Urais 2015 -Kipimajoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais 2015 -Kipimajoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SokoroDar, Feb 8, 2012.

 1. S

  SokoroDar Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi harakati za urais 2015 wakati tukiwa na rais ambae muda wake bado miaka 4 ,je tafsiri yake ni kuwa rais aliyeko madarakani ameshindwa kuongoza au ? maana ukiwa kwenye kazi ukaona nafasi yako inatangazwa ni either wanataka wakureplace au unapata demotion au promotion iwape sio the highest post .
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Japo na wewe ni upupu tu ila JK kashindwa kabisa.Tumpe EL 2015.
   
Loading...