Chinese Cooking Oil Made from Sewage
The news that a tenth of all cooking oil used in China may be made from recycled sewage and laced with toxic contaminants has stunned China...
Last wiki Televisheni ya luninga ya JF, ilipata nafasi ya kumtembelea mmoja wa wanazuoni ambaye anafanya kazi Katika chuo cha Ualimu Vikindu kama Mkufunzi hapo. Siku hiyo chuo hicho kilikuwa...
Umasikini wa wananchi umeongezeka sana.
uwezo wa wananchi kununua umepungua
Biashara haziendi sawa, wafanyabiashara hawapati faida.
wafanyakazi wanapunguzwa
Biashara zinafungwa
serikali...
Naweka bayana kuwa kama ingetokea nakamata madaraka ya kuongoza nchi ya Tanzania,
ama kwa hakika jukumu la kwanza lingekuwa ni kufuta Makanisa haya yanayonyonya
watanzania walalahoi kwa kutumia...
MKiti wa vijana CDM kaitaka serikali kutoa ripoti ya idadi ya vifo kutokana na mgomo wa Madaktari, na iwawajibishe wote waliohusika na vifo hivyo. Source: Radio 1 news.
MIE NASHAURI PM AWE WA...
Mi nimemwona mwanasiasa huyu kwenye mkesha wa Maulid huko Mnazi Mmoja,usiku wa kuamkia leo...kavaa suti kama ya dark blue,kasimama alongside mgeni rasmi (Mohamed Gharib Bilal),Ali Hassan Mwinyi,na...
Waziri wa afya Zanzibar Juma Duni Haji akizungumza na waandishi wa habari
Wizara ya afya Zanzibar imewaomba watu wenye uwezo kusaidia matibabu ya watoto zaidi ya 100 wanaotaka kusafirishwa nje ya...
mh.zitto anaongea mambo mazito sana juu ya uingizaji vitu toka nje ya nchi hasa magari,mbolea,kondomu na vifaa vingine na kazi za tbs.anasema hakuna evidence ya bidhaa feki zinazokatiliwa nchini...
Habari zenu wanaJF.
Naomba tupeane mawazo, sina uhakika kama nitakuwa correct 100%, ila nina amini kwamba you will be able to learn something thru my mistakes.
Kama kuna bankers na Lawyers...
Kuna jambo linalonitatiza na hapana shaka watanzania wengi wako katika hali kama yangu. Mkuu wa kaya ni mwepesi wa kuungurumisha msafara wake kwenda kwenye maziko lakini wakati huo huo kuwakimbia...
Mon, Feb 13th, 2012
Tanzania | Mon, Feb 13th, 2012
Permanent secretary in the ministry of Agriculture, Food Security and Cooperatives Mohamed Muya
Tanzania will sell about 90,000 metric...
Kijana wetu anazidi kutupa moyo na upenzi wake na yanga naona
leo yuo kule front kabisa kuangalia vichekecho vya yanga na ruvu stars
anyway kama waatcheza hivi na zamelek jamani tupokee msiba...
Wakati wakazi wa Dodoma wakiwa hawajasahau tukio baya la wananchi walalahoi, kubomolewa nyumba zao na kuachwa wakiwa hawana makazi, tukio jingine baya limetokea huko Dodoma la wananchi wa kima cha...
mimi na wanachuo wenzangu tumepanga mwisho wa mwezi huu tukatembelee mikumi national park kama sehemu ya kukuza utalii wa ndani naomba kwa mtu mwenye contact za huko anisaidie ili niweze kujua...
Hili limekaaje abiria wa bodaboda kuvaa helmet? Sheria hii ya kulazimisha abiria wa pikipiki za kukodi maarufu kama boda boda kubadilishanabadilishana helmet sie tutaambukizana magonjwa?
Msanii afufuka huko Bondeni
Picha ya msanii anayedaiwa kufufuka
Shirika la habari la BBC linaliripoti kuwa Mtu mmoja nchini Afrika Kusini anayedai kuwa ni mwanamuziki mashuhuri aliyekufa...