Raia wawili wa Kichina, Hsui Chintai (63), kushoto, na wakala wake, Zhao Hinqui, wakisindikizwa na askari Magereza kwenye Mahakama Kuu Tanzania jana, baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela...
Nilishtuka na kuogopa sana juzi nilipopata taarifa kuwa askari polisi huko Songea wanauwa binaadamu tena watanzania wenzetu kwa risasi za moto. Ghafla nilijikuta napiga simu ovyo ovyo lengo nipate...
Matukio mbalimbali yanayotokea kwenye siasa kama ya kufanyiana faulu mbalimbali yananitisha kuwa kwenye siasa ambapo ndio sehemu ya kuweza kuikomboa nchi hii.Je kuna namna nyingine ya kuwe kwenye...
Wahusika wote wa uzembe wa matukio yaliyogharimu maisha ya Watanzania wenzetu wasio na hatia kama mauaji ya Polisi,mabomu ya Mbagala na Gongolamboto,mgomo wa Madaktari na kadhalika msikie...
Baadhi ya Sheria za kushangaza zinazotumika Duniani;
- In Texas, if you are going to commit a crime, you legally have to give 24 hours notice to the police.
- In St. Louis, Missouri, if a woman...
Askari polisi anayetuhumiwa kumuua mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) kilichopo jijini Mbeya, ametiwa mbaroni na kuwekwa rumande katika kituo kikuu cha polisi kati.
Habari...
Mufti Mkuu wa Zanzibar amewataka Waislam wasome Kama wenzao wakiristo na waache tabia ya kulalamika kuonewa kwa kukosa nafasi katika nyazifa mbalimbali.
My take.
Nashukuru kwa kiongozi wa...
anaelezea safari yake ya maisha na siasa.follow the link below
Clouds FM - 88.4 FM Dar es Salaam - Listen Online
msimamo wake kuhusu posho za wabunge:haungi mkono hoja ya kupandisha posho kwa...
Ni habari ya kuhuzunisha iliyotaka kutokea mkoani mbeya nusu saa iliyopita.kulikuwa na msafara wa mh Bilali uliokuwa unatokea tunduma kuja mbeya mjini,wakati askari wamesafisha barabara tayari...
Ndugu zangu TANESCO walisema LUKU itapandisha mapato ili waweze kutoa huduma bora, watanzania tukakubali wafanye hivyo lakini matokeo yake ni yaleyale.
Wakaja na maombi ya kupandisha bei kwa...
wakuu kwa mujibu wa taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG), asilimia 96 (96%) ya uvunaji wa mazao ya misitu unafanyika haramu kinyume cha sheria na taratibu na hivyo kutochangi kwenye...
Msomi mhadhiri msaidizi kutoka idara ya sayanzi ya siasa udsm bashiru ally amesema mh jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya tanzania hapaswi kukwepa tuhuma wala kupuuza malalamiko ama maoni...
Leo katika pilikapilika zangu za hapa na pale nilikutana na jamaa wanabishana juu ya sie wabongo kuiga vitu ambavyo haviendani na maadili ya kwetu. Jamaa wakarushiana maneno huku kila mmoja...
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya kuhusu namna ya kupambana na ufisadi Tanzania unakuwa mgumu kwa kuwa Mafisadi wana mamluki katika kila kona. Mfano hata humu JF wamo, sasa ni muda muafaka wa...
Matumizi makubwa ya nguvu na ya kutokutumia akili na busara za kawaidi yalionyesha na jeshi la polisi songea hivi karibuni,na pia huko Arusha,Mbeya iko haja ya kufanya mabadiliko makubwa sana...
Jamani wala si chokochoko, Mzee wetu maarufu sana kwa kumwaga Mipesa mitaani na kukemea mafisadi Papa na hata kufikie kupishana njia na Yusuph Manji, Siku hizi amekaa kimya sana kuliko kawaida...
Naomba niiulize Idara ya Uhamiaji ni lini nitapata pasipoti yangu, fomu yangu ya maombi nilipeleka makao makuu Kurasini tangu mwezi oktoba mwaka 2011 ,lakini mpaka sasa sijapata pasipoti...