Nataka kuwa Mwanasiasa asiye fisadi nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuwa Mwanasiasa asiye fisadi nifanyeje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Feb 24, 2012.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Matukio mbalimbali yanayotokea kwenye siasa kama ya kufanyiana faulu mbalimbali yananitisha kuwa kwenye siasa ambapo ndio sehemu ya kuweza kuikomboa nchi hii.Je kuna namna nyingine ya kuwe kwenye uongozi bila kupitia siasa?Maana kwenye uharakati nako kuna tatizo la kukabiliana na watawala, kwenye vyama vya siasa kuna ufisadi na asiyetaka ufisadi huujumiwa.Sasa ipi njia sahihi ya kupitia na kuwa kiongozi bila bughudha?
   
 2. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwamini YESU. OKOKA. Then ingia kwenye siasa.
   
 3. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Kwani we professional yako nini?
  Kama umesoma masomo yanayo relate na siasa well and good,
  Ila kama hauna fan ya siasa ndo wengi kama nyie tulio nayo kwenye siasa ya nchi yetu na wanao liaribu taifa letu.

  Imefika wakati kila mmoja asimamie professional yake.
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Karibia Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa Watanzania.
   
 5. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kuwa kiongozi siyo lazima uingie kwenye siasa ila unaweza hata ukawa kiongozi wa kidini au kiongozi wa familia!
   
 6. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hutaki kuwa fisadi?

  Hufai kuwa mwana siasa hapa bongo.

  SIASA = UFISADI. Hata kama hutaki lakini utaongozwa huko na waliokutangulia.
   
 7. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naipenda Chadema lakini sipendi uzushi mfano Dr. Slaa kazushiwa mengi ila ni mvumilivu.
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Njoo...ufanyiwe ...maombi...
   
 9. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwani kuwa na profession fulani ni dawa ya kutokuwa fisadi?Mbona viongozi wetu wana profession zao?Na fani ya Siasa nayo ni dawa ya kutokuwa fisadi?
   
 10. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Ah! Wapi hzo ni porojo zako,we kwel waweza kuwa kiongoz bila kuwa fisad huo ni uongo 2 broda U CANT.
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jifunze kuwa muongo tu
   
 12. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hutaki kuwa fisadi? Kuwa mshirikina utafaa sana!!
   
Loading...