Tumechoka kuwaomba mjiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumechoka kuwaomba mjiuzulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Feb 25, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Wahusika wote wa uzembe wa matukio yaliyogharimu maisha ya Watanzania wenzetu wasio na hatia kama mauaji ya Polisi,mabomu ya Mbagala na Gongolamboto,mgomo wa Madaktari na kadhalika msikie: tumechoka kuwaomba mjiuzulu.Tukiwaomba sana tutawapandisha chati bure! Kama nyinyi hamjui dhana ya uwajibikaji mliyofundishwa Ngurudoto na Dodoma basi.Lakini,kuweni makini...
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Tatizo "mnawaomba" badala ya "kuwafanya" wajiuzulu.

  Utamu wa utawala hauachwi kwa maombi, bali kwa nguvu za matendo.
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Sasa kwanini tusifanye wajiuzulu?
   
Loading...