Ikulu yafunikwa na moshi wa wakaanga samaki Magogoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikulu yafunikwa na moshi wa wakaanga samaki Magogoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Mar 3, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Huwezi kuamini kama Soko hili ni hatua chache tu kutoka uzio wa Ikulu yetu, je Ikulu haionji adha ya kufukiwa na moshi kila leo na kwa nini matengenezo hayafanyiki kutokana na soko hilo kuungua mwaka jana?[​IMG]

  Wakaanga samaki katika Soko la Feri Magogoni, Dar es Salaam wakiendelea na shughuli hizo kwenye moshi unaotokana na kuharibika kwa vitolea moshi na kusababisha moshi huo kutanda hivyo inayowalazimisha kila wakati kutoka nje ili kupata hewa safi. Baadhi ya majiko yaliteketea kwa moto mwezi kama huu mwaka jana katika soko hilo na kwa mujibu wa mmoja wa wakaanga samaki hao, Mfaume Namkopa, kuna jumla ya wakaanga samaki 143 wanaotumia kwa zamu majiko yaliyobakia na kusababisha usumbufu mkubwa.
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Muache kama hawezi kuwaza acha wale moshi,he maviongozi gani kila ki2 wasaidiwe kuwaza,
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Ikulu si patakatifu tena kama alivyopaacha Mwalimu. Moshi ruksa!!
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ni aibu wageni mashuhuri wanapotembelea Ikulu wananukishwa moshi toka Maogoni
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Kikwete anavuta moshi mwaka mzima?

  I knew he was smoking somn.
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,437
  Trophy Points: 280
  ukiachana ule moshi vipi lile shombo la samaki.kwa mgeni ni kati ya sehem zinazotoa harufu ya ajabu sana.pole sana rais wetu.!!!!!!
   
Loading...