mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
Habari wanajamvi,
hivi inachukua muda gani kwa Tanesco Emergency kufia eneo la tukio?
Maana mtaani kwangu toka jumatatu kwenye nguzo panatoa cheche binafsi nimepiga customer care, na tanesco zone hola toka jumatatu naishia kupewa namba tu.
Hii ni hatari, mie ninayeishi huku kwenye mitaa inayofikika krahisi hawaji je huko ambako hakuna njia wala mitaa wanaenda kweli?
Yaani hapa tunaishi kwa hofu ya madhara ya hizi cheche, si kwa kuhofia mali tu bali hata watoto na wenda kwa miguu.......
This country banaa......