Kipima joto itv leo

TODO

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
219
62
Wanajadili kuhusu ununuzi wa mali na huduma za uma na changamoto zake.wageni ceo ppra na chair wa Board ya ppra.wengine ni mkandarasi bocco na hpmu wizara ya elimu.

wachangiaji wako vizuri wanajadili objectively.mimi naona itv wamesahau kumualika mdau mkuu wa manunuzi ya serikali\umma ambaye ni wakala wa huduma ya ununuzi serikalini.huyu ndo mtendaji hasa wa masuala ya ununuzi.lakini mtu huyu hayupo kwa leo.

wakati mwingine itv jitaidini kukamilisha jopo la wadau wote wa mada husika.

kwa sasa ni hayo tu
 
Back
Top Bottom