Je,wizara ya afya kugawa magari ya wagonjwa nikujisafishana atharizamgomo wamadaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,wizara ya afya kugawa magari ya wagonjwa nikujisafishana atharizamgomo wamadaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kayinga junior, Mar 2, 2012.

 1. K

  Kayinga junior Senior Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jana ndugu H.Mponda amekabizi magari kazaa kuhudumia watanzania wenye matatizo yadharura kama ajari ,mjamzito na mgonjwa mahututi,je ujio huo mnaupokeaje?
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  waliwahi kugawa mobili hospital bila bajeti ya kuzihudumia leo zile benz ziko juu ya mawe kwa kukosa matairi. Hiyo ni kawaida kwa nchi hii hatuoni kipya. Kinachohitajika ni kuboresha mazingira ya hospitali zetu ziweze kutoa huduma effectively. Unaweza kumleta mgonjwa kwa emegency aafu akakosa kanula,dawa, akafia hospitali,umesaidia nini?
   
Loading...