Maadui Wanne wa Maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maadui Wanne wa Maendeleo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IPECACUANHA, Mar 3, 2012.

 1. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 1,749
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nilibahatika kumsikiliza Raila Odinga waziri mkuu wa Kenya wakati wa mazishi ya Njenga Karume Mfanyabiashara mashuri na mwanasiasa wa Kenya ambapo ameorodhesha maadui wa maendeleo kuwa ni
  1. Maradhi
  2. Ujinga
  3. Umaskini
  4. Utawala wa kimabavu, gandamizi na unao-onea wananchi

  My take: kenyans are more focused on issues particularly no 4 when compared to Tanzanians and could be the reason for their stronger economy despite their lack of natural resources also in comparison to TZ
   
 2. Moseley

  Moseley Senior Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Maadui hawa apa...

  1. Maradhi
  2. Ujinga
  3. Umaskini
  4. Pinda
  5. Makinda
  6. Wale wa-Kijani walio Eneo la Umasikini wa kutupa
  (by Makinda)!!
   
 3. P

  Percival JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,351
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180

  Adui mkubwa ni ufisadi ( coruption ) hayo yote yaliotajwa yatatoweka ikiwa hakuna ufisadi. Ikiwa mali ya umma itatumika kwa mambo muhimu bila ya watu kufyonza na wafanyakazi wakachapa kazi bila kutegea na kula mshahara wa bure.
   
Loading...