Airport Dar wazuia Maiti, wanataka rushwa

kwa sheria za kusafilisha mizigo kwa ndege, maiti ni mzigo kama mizigo mingine hivyo hao ndugu wanahitaji kujua kuwa documents ndio zinazo tambulisha aina ya mzigo, marehemu alibadili dini akawa mgalatia wao wanadai ni muislam majina tofauti watapewaje mwili wanahitaji wajue taratibu za kutoa mizigo
tunashukulu taratibu zimekamilika wapemba wamepewa mwili wao RIP
 
ni wewe ulizuia nini mbona unajua ya undani? ila kwa hilo rushwa ingetolewa m/wasingefatilia hayo yote au unasmaje?
 
tatizo liko wapi si wawasilishe tu Bill of lading ziende TRA waje kufanya assessement ya mzigo waende long room walipie wachukue mziko wao kabla ASCUDA haijawa down..au sijui nimekosea kujibu..
 
Wonders shall never end at JF
 
kwa sheria za kusafilisha mizigo kwa ndege, maiti ni mzigo kama mizigo mingine hivyo hao ndugu wanahitaji kujua kuwa documents ndio zinazo tambulisha aina ya mzigo, marehemu alibadili dini akawa mgalatia wao wanadai ni muislam majina tofauti watapewaje mwili wanahitaji wajue taratibu za kutoa mizigo
tunashukulu taratibu zimekamilika wapemba wamepewa mwili wao RIP
Taarifa haziko sahihi sana, marehemu alikuwa mgalatia akabadili na kuingia Uislamu kabla hajazamia. Hivyo siku zote ilieleweka ni Muislam, kumbe huko alikokuwa alikuwa akitumia jina lake la zamani. Kama alirudia ugalatia au alitamani tu jina lake la zamani ndio haijulikani.
 
Ni kheri km limekwsha ila hao jamaa kweli noma..tulishawahi kupeleka mwili wa ndugu yangu kusafirisha mkoani jamaa wakatuongezea bei(cha juu)kwa kila kilo 1 waliongeza sh. elfu moja. Sasa ile tunataka kuondoka tukampigia staff mmoja wa pale(anafahamiana na kakangu)kuwa ebwana tushamaliza taratibu zote na tumelipa kias kadhaa..haah ndo jamaa kushtuka mbona mmelipa hela nyingi...tukamwambia kila kilo moja kias kadhaa...jamaa akasema tumsubiri aje alipokuja tulirudishiwa hela iliyozidi..pia cha ajabu risiti ya kwanza ilichapwa kwa mashine ya mkono fasta sn ilhali umeme ulikuwepo...ya pili ikachapwa kwenye printer.
 
Nilipoona jina Autopilot nikajua huyu mtu at least anajua mambo ya ndege na viwanja, lakini kumbe kaputi!
Hii mentality kuwa ukitokea ucheleweshaji ni kwasababu ya rushwa?...no no noo..this is too much a joke!
Kwanini unaondolewa uwezekano kuwa sababu zilitokana na upande wa wadai maiti?(ambayo actually ndio real case!!)

Bahati mbaya sana mtu anapeleka post kwa Michuzi, huku haelezi chochote kuhusiana na sababu ya kucheleweshwa maiti yao...hajagusia kabisa story behind delay!
Watu wanaishia kutaja NUNDU , AS IF issue ni ya kiutawala wa mamlaka, kumbe wao ndio wamesababisha ucheleweshaji!
Acheni uswazi wa kukimbilia kwenye media, ulalamishi utawasidia nini?
 
Taarifa haziko sahihi sana, marehemu alikuwa mgalatia akabadili na kuingia Uislamu kabla hajazamia. Hivyo siku zote ilieleweka ni Muislam, kumbe huko alikokuwa alikuwa akitumia jina lake la zamani. Kama alirudia ugalatia au alitamani tu jina lake la zamani ndio haijulikani.

wagalatia ni akina nani na hao wahafidhina aka waislamu ni nani??embu tusaidieni jamani
 
Nilipoona jina Autopilot nikajua huyu mtu at least anajua mambo ya ndege na viwanja, lakini kumbe kaputi!
Hii mentality kuwa ukitokea ucheleweshaji ni kwasababu ya rushwa?...no no noo..this is too much a joke!
Kwanini unaondolewa uwezekano kuwa sababu zilitokana na upande wa wadai maiti?(ambayo actually ndio real case!!)

Bahati mbaya sana mtu anapeleka post kwa Michuzi, huku haelezi chochote kuhusiana na sababu ya kucheleweshwa maiti yao...hajagusia kabisa story behind delay!
Watu wanaishia kutaja NUNDU , AS IF issue ni ya kiutawala wa mamlaka, kumbe wao ndio wamesababisha ucheleweshaji!
Acheni uswazi wa kukimbilia kwenye media, ulalamishi utawasidia nini?

mkuu wacha wafu wazike wafu wao
Nahisi walijua kupeleka maiti kama wanavusha samaki kwenda Pemba awajui kuna baadhi ya charges za maiiti jamani
na kilichotokea hapo naona ni miscommunication alieleta mzigo akujua anatakiwa kupeleka nini na alipoanza kuulizwa viitajika akahisi yameanza mambo ya longroom hapo shuguli ikawa pevu..anyway ni kweli rushwa imejaa kila ofisi ila nahisi mkuu akuwa mpole kusikiliza anachoitajika na ndio maana amekimbilia kwa NUNDU LABDA KABLA YA KUFIKA KWA NUNDU KUKUSAIDIA KUNA

SWISSPORT
TAA
TCAA
TRA
TAKUKURU
POLISI
YAANI UKIPATA SHIDA HUKO FWATA HIZO NGAZI UKISHINDWA KABISA KABISA NDIO UFIKIRIE KWA NUNDU AMBAE SAMAHANI UNAWEZA MUONA BAADA YA WIKI UKIOMBA WIZARANI BY THE TIME MAITI ITAKUWA IMESHAFFUFUKA
 
Back
Top Bottom