Watumishi wa mahakama hawajalipwa mshahara wa feb 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watumishi wa mahakama hawajalipwa mshahara wa feb 2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MmasaiHalisi, Mar 3, 2012.

 1. MmasaiHalisi

  MmasaiHalisi Senior Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari nilizozipata toka ndani ya mahama,watumishi wake wote hawajalipwa mshahara mpaka leo,je sisi ambao tuna kesi tukienda mahakamani hawatatuomba rushwa?
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hata kama wangekuwa wameshalipwa, hao kwa rushwa ni kama maji. Yaani uende mahakamani usiombwe rushwa tena hizi ndogo ndogo za kipolisi/kitrafic. Nchi hii inachekesha sana!!
   
Loading...