Not Oil for Money... But Oil for ....!!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Technology....
Hii kauli inarudiwa mara kwa mara na luninga ya Emmanuel TV. Huwa inaelezea jinsi Africa ilivyo na utajiri wa asili,tofauti na Ulaya na Amerika. Lakini nchi za ki-Afrika huuza maliasili zao kwa nchi zilizoendelea na kulipwa fedha za kigeni..

Yeye anashauri nchi za ki-Afrika kutouza maliasili kwa kupata fedha za kigeni,bali kubadilisha maliasili zetu kwa kujipatia teknolojia muhimu na husika kwa mahitaji na vipaumbele vya nchi yetu..!

Je,ma-great thinkers hili mnalitazamaje?
 
technology....
Hii kauli inarudiwa mara kwa mara na luninga ya emmanuel tv. Huwa inaelezea jinsi africa ilivyo na utajiri wa asili,tofauti na ulaya na amerika. Lakini nchi za ki-afrika huuza maliasili zao kwa nchi zilizoendelea na kulipwa fedha za kigeni..

Yeye anashauri nchi za ki-afrika kutouza maliasili kwa kupata fedha za kigeni,bali kubadilisha maliasili zetu kwa kujipatia teknolojia muhimu na husika kwa mahitaji na vipaumbele vya nchi yetu..!

Je,ma-great thinkers hili mnalitazamaje?


kutakuwa hakuna uwiano!!
 
Jamani ma-great thinkers... Ama hili jukwaa sahihi?

Hoja yangu: kwanini tununue ndege,meli,na bidhaa nyingine kama hizo? Kwanini tusizalishe/tengeneze wenyewe..

Au hata magari... Kwanini tusitengeneze wenyewe na kuinua soko letu la ndani?
 
Simu za mkononi je?

Pasi,friji,na vyombo vingine vya electroniki...?

Ama rsilimali tulizonazo kama bara haziwezi kwa ulinganifu wa aina yeyote kuwa mbadala wa teknolojia?

Au ni mfumo uliopo?
 
Back
Top Bottom