Hii ya kujichukulia sheria mkononi na kuua watuhumiwa imekaaje wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya kujichukulia sheria mkononi na kuua watuhumiwa imekaaje wakuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Mar 2, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jaramba maeneo haya ya mikocheni,jana mtu kachomwa moto hapa REGENT KAIRUKI,LEO KAOKOLEWA MWENGINE KUMWAGIWA PETROLI MAENEO HAYAHAYA....KARIBU NA CHUO CHA MLIMANI CHA MAWASILIANO YA UMMA,DUUH HAATAAARI HAYA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONON YAMEPAMBA MOTO

  wahalifu kama hawa wapo maeneo mengi ya jiji na hata mikoani.pale kigamboni kwenye foleni ndio balaa.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Haya ndiyo yanayodhihiri sasa,wa jana alikimbizwa akiwa juu ya pikipiki kutoka maeneo ya m/nyamala na vijana nafikiri na madereva bajaj wakatimiza yale! Wa leo hapo karibu na chuo cha mawasiliano al maaruf kimong'onyole,aah ndugu yangu utu umetutoka viumbe!!
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Watu wana hasira. Vibaka hawajali. Hasira zao wanazitoa kwa yeyote anaedhani ana hatia.

  Hii ni vicious circle. Lakini jaribu kutafakari. Utagunduwa kuwa yote haya ni sababu ya maisha magumu.

  Kibaka na anataka kufanya kazi ya halali. Lakini ataipata wapi? Ana amua kuiba ili ajikimu.

  Wewe nawe ......... Kwa taabu umejichumia thamani zako ambazo unajidanganya ........... Asset zangu hizi. Uki ibiwa au ukitaka kuibiwa.......Hasira zako za mashida ulio nayo unamtolea kibaka. Hata ukimpeleka polisi, kesho karudi. Tena kwa hasira umemshtaki. Sirikali wanadai hamna polisi wa kutosha kutulinda. Wakati wa maandamano sijui wanatokea wapi. Wanajaa teleeeeee.

  Kubali tu na uridhike na maisha. Kama huna la kufanya, wacha kulalamika.
   
 4. assa von micky

  assa von micky Senior Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  inasikitisha sana ,kinachoumiza zaidi baadhi ya wanaokumbwa na mikasa hii siyo waharifu,,Jirani yangu aliuwawa kikatili na watu wa boda boda wakimfananisha na mtu aliyepora pikipiki yao,hali ni mbaya
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watu wamechoka na nchi dhalimu isiyojali walalahoi
  leo hii ukimpeleka kibaka polisi kesho yuko huru mtaani
   
 6. papason

  papason JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  My friend!

  Hii hali ya wachawi, mijizi, mijambazi n.k kupata mikong'oto ya nguvu na kisha kuchomwa moto ni sawa kabisaa, kwani uhalibifu wanaoufanya ktk jamii ni sawa na hayo malipo yanayo yapata wakikamatwa!
   
 7. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Arusha kuna mmoja alikua anaitwa Embaa kauliwa juzi pande za kimandolu.
  Jamaa alikua akikuibia lazima akukate. Na anajulikana mpaka polisi.
  Jamaa lilikua jambazi toka miaka ya 90's na akishikwa baadae anatoka.
  Kwa majambazi yanayojulikana kama haya, mimi na support 100% wauliwe!
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Vyombo vya sheria vingekuwa vinatimiza wajibu wake haya yote yasingetokea. Watu wanakwenda kutoa ripoti kwa ofisi husika kuwa kuna uvunjifu wa sheria kwamfano mtu amejenga ukuta na kuziba barabara; wahusika badala ya kufuata sheria na kufungua barabara iliyozibwa wanakacha majukumu yao eti kwasababu aliyevunja sheria ni tajiri au mkubwa serikalini, matokeo yake kwavile serikali haitimizi wajibu wake kwa raia wake, wananchi wanaamua kujichukulia sheria mkononi ya kuwaua vibaka na pia kuvunja kuta zinazoziba barabara!! Haya hutokea tu kwenye nchi isiyokuwa na utawala bora.
   
 9. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tatizo wahalifu nao ni kero kubwa. Wakipelekwa umwelani nako hawakai muda mrefu wanaachiwa, matokeo yake ndo hayo sasa.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kwa nini wasikamatwe na kufikishwa mbele ya sheria??
   
 11. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wezi wao mbona wanajichukuliaga,wanakuibia na pia wanakuua.Ingekuwa vizuri kama wahujumu nchi nao tunawafanya hivyo.....wabongo bana....Nawabongo wamechoka,hawana wakuwachukulia nibora wajichukulie.OVER
   
 12. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  sheria za nchi gani? Nchi ishakuwa genge la majambazi ambao hawajali kabisa. Polisi ukimpigia cmu kumtaarifu kuna majambazi yamevamia sehemu wanakwambia lete ushahidi. Polisi siku hizi wamegeuka na kuwa mahakama badala ya kuwa watafutaji wa ushahidi. Unategemea wananchi tuwaamini tena? Mbona kuna kipindi hizi choma choma hazikuwepo? songea walipelekewa taarifa za watu kuuawa wakasema ni 7bu ya wivu wa mapenzi,ina maana ni ruksa watu kuuana kwa wivu wa mapenzi? Tunategeana sana kufikiri nchi hii! Kuna watu hawafanyi kazi zao kwa makusudi,inabidi tuwaamshe. Poleni kwa waliouawa kwa bahati mbaya.
   
Loading...