Overdrawn CRDB BANK ACCOUNT

Overdrawn CRDB BANK ACCOUNT

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
55
Nini kinatokea account ya CRDB ikiwa over withdrawn beyond 5000 Tsh...inayolinda kitabu.....
 
Nadhani ni automatic closure of the account,cjui acha Kimei akipita hapa atatuambia!
 
Nauliza maana nina international transfers zangu ziko pending...halaf kwenye account kuna 4000...isije kuwa wameifungilia mbali hahahahahahahah
 
Hebu fafanua iliyopo maana huwa kuan haya maneno
Actual amount is Tsh......na
Available amount is Tsh.....
Sasa hiyo 4000 ipo kwenye actual au available?? Kama available hakuna noma maana ndio unatakiwa uichukue tu. kama ndio actual inamaana acount ndio inakaribia kufa mkuuu kama sio kuwa Blocked maana ndio ya kitabu sasa
 
4000 ipo kwenye actual amount lakini walikata 1000 wenyewe kama sim banking fee...ila account iko active every month isipokuwa huwa naikwangua sana
 
Hebu fafanua iliyopo maana huwa kuan haya maneno
Actual amount is Tsh......na
Available amount is Tsh.....
Sasa hiyo 4000 ipo kwenye actual au available?? Kama available hakuna noma maana ndio unatakiwa uichukue tu. kama ndio actual inamaana acount ndio inakaribia kufa mkuuu kama sio kuwa Blocked maana ndio ya kitabu sasa


Mnyakyusa nipe ufafanuzi basi mkuu
 
Back
Top Bottom