Data analysis using spss inafundishwa ucc-mbezi beach. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Data analysis using spss inafundishwa ucc-mbezi beach.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by raia tz, Mar 6, 2012.

 1. raia tz

  raia tz Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu kuna course ya data analysis using spss na ms exel inafundishwa udsm details hizi hapa

  1.mahali- ucc mbezi beach branch mbele ya kituo cha goigi.
  2.muda wa lumaliza course-ni course ya wiki tano(5weeks).
  3.ratiba ya course-jumatatu hadi ijumaa saa 12:00jioni hadi saa 2:00 usiku
  4.ada ya course tsh 290000/=

  nb: Mimi nimejiandikisha kwenye hilo darasa na sasa inasubiriwa idadi ya wanafunzi iongezeke.ni course nzuri namba ya course coordinator ni 0712853939 ukimpigia atakufa maelekezo zaidi.ila yeye hajapost tangazo hili
   
 2. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Spss ndio nini?
   
 3. raia tz

  raia tz Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MKUU SPSS NI SOFTWARE INAYOTUMIKA KUANALYSE DATA BAADA YA DATA COLLECTION KUTIKA KWENYE FIELD RESEARCH.SOFTWARE HII HUKUPA STATISTICAL PARAMETERS KAMA VILE MEAN,MODE,MEDIAN.PIA INAKUWEZESHA KUCHORA GRAPHS NA GENERALY KUPROCESS DATA

  MKUU LINKI HII WAWEZA SOMA SPSS - Wikipedia, the free encyclopedia
   
Loading...