Mketo: Kura za Waislamu ziliimwangusha Lipumba na Cuf!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mketo: Kura za Waislamu ziliimwangusha Lipumba na Cuf!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matola, Mar 6, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Wakuu kaimu naibu katibu mkuu wa chama cha CUF Ndugu Mketo, nimeshtushwa sasa hivi kusikia redioni kupitia kipindi cha meza ya busara eti kupunguwa kwa kura za CUF na Lipumba kwenye uchaguzi mkuu uliopita kulitoka na Waislamu kuamuwa kumpigia kura mwislamu mwenzao Jakaya Kikwete na hivyo kuathiri kura za Lipumba!!
  Source: Wapo redio meza ya busara.

  My take: Sihitaji tena degree kujuwa kwamba kumbe lisemwalo lipo na hakuna shaka yoyote kwamba hiki ni chama cha kiislamu ila kuna Watanzania bado hajafamu vyema Agenda ya chama hiki na ni hakika Jusa hakukosea alipotoa ile kauli kwamba kushindwa kwa CUF Uzini ni kwa sababu wakazi wake wengi ni wakristo na Wabara!
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Hivi Waislam wa Tanzania na wale wa DUbai au Kuwait au Qatar huwa wana uwezo tofauti wa kufikiri? Mbona hao Waislam wa hizo nchi nilizotaja wako rational sana kulinganisha na hawa wa kwetu! Nauliza tu lakini msije mkaniponda na mawe.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  This is very bad, bado siamini masikio yangu kwa kile nilichokisikia ten kikitamkwa kupitia redioni! hii ni hatari sana kwa Taifa hili.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa Mketo msimamo wa Bakwata na taasisi za Kiislamu ilikuwa ni kuumunga mkono JK kwani wangemuunga mkono Lipumba kura zisingetosha kwa JK. that means kwamba kupunguwa kwa kura za misikitini kwa Lipumba maana yake ni kwamba maustaadhi waliamia CCM kwa mkopo.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Tena kipindi bado kiko hewani Wapo Redio mpaka dakika hii, kila anaepiga simu kwa upande wa CUF basi lafudhi ni ya kipemba! chama hiki bana.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  i seeee......................
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Aiseeeee!, Kumbe Lipumba siyo muislamu...nilikuwa silijui hili.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Bakwata na jumuiya za Waislamu hawakutaka kuzigawanya kura zao kwa waislamu wawili waliona JK ndio ana mtaji mzuri ni bora wampe JK kuliko kuzigawa kura zao kwa waislamu wawili" haya sio maneno yangu bali haya ni maneno ya Kaimu naibu katibu mkuu wa CUF ndugu Mketo.
  Kama wewe hodari wa kubisha basi bishana na redio.
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Usiishi kinyonge hapa JF forum kwa kuogopa ban, kuwa huru kama kauli mbiu ya JF we dare to speak openly!!
   
Loading...