Ajali ya basi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya basi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmbangifingi, Mar 6, 2012.

 1. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  429997_3188699527903_1578281785_32612441_73271884_n[1].jpg

  Wakuu ajali hii inadaiwa kutokea March Mosi kwa basi hili kugongana uso kwa uso na gari ndogo. Kama kuna mwenye taarifa zaidi za mahali/eneo ajali ilitokea,if it was fatal nk. atujuze zaidi wanajamvi
   
 2. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hebu taja eneo, maana hapa TZ ajali ni nyingi saana. Taarifa yako haijakamilika mkuu.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Well as I was still asking here and there,,naambiwa ni eneo la Kabuku na bahati hakukuwa na fatal! once again road accidents at their threat!
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  ajali zimekuwa nyingi
  poleni wahanga wote.
   
Loading...