Tetesi: Mgomo wa wafanyabiashara Soko kuu Majengo-Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: Mgomo wa wafanyabiashara Soko kuu Majengo-Dodoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NZURI PESA, Mar 5, 2012.

 1. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Wakuu kuna tetesi kuwa kuanzia kesho kutakuwa na mgomo wa wafanyabiashara wa soko kuu MAJENGO DODOMA wakipinga wenzao wauza matunda na mbogamboga kuhamishiwa ktk masoko ya BONANZA na MEDELI
   
 2. M

  Mringo JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  nikweli aisee jana nilipita pale kupata chochote nikakuta hakuna biashara inayoendelea na kumezungushiwa kamba kabia mtu asipite
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,088
  Likes Received: 6,554
  Trophy Points: 280
  mngengojea wakati wa mjengoni.
   
Loading...